Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

    Report Post
    Page 3 of 14 FirstFirst 1234513 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 273
    1. #1
      Mtambuzi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 29th October 2008
      Location : Dar Es Salaam
      Posts : 6,094
      Rep Power : 27014
      Likes Received
      8231
      Likes Given
      17325

      Default Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Saloon hizi zina mambo......................... ...!

      Jana nilikwenda kunyoa hizi mvi zangu, nilikuta kuna wateja wananyolewa katika saloon hiyo, hivyo ilibidi nikae nje kusubiri huku nikisoma gazeti langu. Pembeni ya hiyo saloon kulikuwa na saloon nyingine ya kike na hapo nje walikaa kina dada wakisukana. Mara akapita kijana mmoja wa pale mtaani ambaye ninafahamiana naye, tulisalimiana kisha akapita na hamsini zake wale kina dada walianza kumjadili……………

      “Shoga unamuona yule kaka alivyo mzuri, yaani ana sura nzuri utadhani mwanamke.” Alisema dada mmoja kati ya wale kina dada.

      “Mwenzangu hayo macho je? Mwanaume ana macho mazuri kama nini, na kifua chake mmekiona? Na huo ndio ugonjwa wangu…..” Alidakia mwenzake.

      Mwenzao mmoja ambaye alikaa kimya akiwasikiliza alidakia...... “Ni mzuri ndio, lakini kizuri hakikikosi kasoro?”

      Wale wenzie wakamuuliza ana kasoro gani?

      “Hana kazi mwenzangu..........Yuko mtaani tu na anashinda vijiweni na jioni utamkuta uwanjani anajifanya kocha anafundisha mpira timu ya watoto wa hapa mtaani........... “ Alijibu yule dada.

      “sasa hiyo ndio kasoro?” Mwenzake mmoja alidadisi........

      “Hee, mwanaume asiye na kazi atamtaka nani? Nani atamtaka mwanaume suruale........” Yule dada alijibu kisha wote wakacheka kwa pamoja kwa kebehi................

      Duh, mazungumzo yale yalinifanya nitafakari.... Hivi siku hizi mwanaume asiye na kazi huchukuliwa kwamba ana kasoro!

      Nilibaki mdomo wazi.
      Asprin, Remmy, Erickb52 and 7 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #41
      GTesha's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 199
      Rep Power : 389
      Likes Received
      41
      Likes Given
      9

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Ila kweli mwanaume hana hata sh 200 ya kununulia chumvi wa nini? hii ni kasoro tena kubwa sana, na kuna wengine hawana kazi wanalishwa na kuvishwa ila wana gubu hao kama ndugu wa mume
      Mtambuzi likes this.

    4. #42
      Catherine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2012
      Location : Dar
      Posts : 1,241
      Rep Power : 595
      Likes Received
      739
      Likes Given
      208

      Default

      Quote By Erickb52
      Hahahaaaa na watutolee maumbea yao lol
      Salamu hizi na ujumbe uwafikie wale vinara wa Umbea BADILI TABIA Yummy cacico Remmy sweetlady Yummy Catherine Erotica na wenzao wanaokaaga salun za JF
      Erickb52, umenionea jamani kuniita mbea. kati ya wote hapo sweetlady ndio mbea. sweetlady usisome hapo mama eeh.
      Erickb52 likes this.

    5. #43
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,718
      Rep Power : 22527
      Likes Received
      6374
      Likes Given
      2848

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Hivi watu wanaoshinda Jf toka asubuhi day1 hadi asubuhi day2 kama vile Erickb52 nao wana kasoro eeh? au Jf ni kazini! Naomba ufafanuzi!
      Mtambuzi and Erickb52 like this.

    6. #44
      Blaine's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 11th January 2012
      Location : on hiatus
      Posts : 1,482
      Rep Power : 3776
      Likes Received
      1038
      Likes Given
      369

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      mwanaume bila kazi ni soo, uanaume wako uko wapi sasa??
      Mtambuzi likes this.
      on jf hiatus

    7. #45
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,718
      Rep Power : 22527
      Likes Received
      6374
      Likes Given
      2848

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Mimi mwenyewe mwakajuzi nilikuwa na kasoro, mwaka jana sikuwa na kasoro, mwaka huu hadi mwezi wa 5 nilikuwa na kasoro, lakini tangu june sina kasoro!
      Mtambuzi likes this.

    8. RukaaJuu Final

    9. #46
      Yegomasika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2009
      Location : Mwanza
      Posts : 1,909
      Rep Power : 899
      Likes Received
      443
      Likes Given
      307

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Mtambuzi safari nyingine ukae mbali na saloni za kike tafadhali, hawakawii kuzodoa hao na si ajabu ulipoondoka tu pale mahala wakakuanzia wewe...Yule babu nae mvi mpaka puani kha!.
      Mtambuzi likes this.
      Happiness Begins With Facing Life With A Smile And A Wink.

    10. #47
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,335
      Rep Power : 36533
      Likes Received
      7486
      Likes Given
      4604

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Quote By Catherine
      Erickb52, umenionea jamani kuniita mbea. kati ya wote hapo sweetlady ndio mbea. sweetlady usisome hapo mama eeh.
      Sijasoma ila nimenuna! Hujambo Catherine kipenzi cha roho yangu???
      Mtambuzi and Erickb52 like this.
      Life without problems never make a strong and good person!

    11. #48
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,335
      Rep Power : 36533
      Likes Received
      7486
      Likes Given
      4604

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Quote By PakaJimmy
      Hivi watu wanaoshinda Jf toka asubuhi day1 hadi asubuhi day2 kama vile Erickb52 nao wana kasoro eeh? au Jf ni kazini! Naomba ufafanuzi!
      Yaani PakaJimmy uko sawa kabisa kumtaja Erickb52 manake yuko online masaa 24 lol!
      Mtambuzi and Erickb52 like this.
      Life without problems never make a strong and good person!

    12. #49
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,486
      Rep Power : 50830
      Likes Received
      9397
      Likes Given
      14588

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Quote By PakaJimmy
      Hivi watu wanaoshinda Jf toka asubuhi day1 hadi asubuhi day2 kama vile Erickb52 nao wana kasoro eeh? au Jf ni kazini! Naomba ufafanuzi!
      Hahahaaaaa PakaJimmy kama umejua hilo lol
      Hawa hawana kasoro coz ni masharobaro na hawana kazi zaidi ya kuwatimizia haja bidadaz wa humu lol
      Kazi zetu ndio hizi kukagua wajukuu wa Asprin
      Asprin and Mtambuzi like this.
      Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
      Acha Ngono,UKIMWI unaua!

    13. #50
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,486
      Rep Power : 50830
      Likes Received
      9397
      Likes Given
      14588

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Quote By sweetlady
      Yaani PakaJimmy uko sawa kabisa kumtaja Erickb52 manake yuko online masaa 24 lol!
      Hivi umesahau thread inasemaje?
      Umbea so hata Catherine amekutaja kuwa we ndio mama Lao kwa umbea lol huna aibu mwanamke wewe kusema wanaume! Mtafute BADILI TABIA mje na wimbo wa Hao Hao wa AT
      Mtambuzi and sweetlady like this.
      Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
      Acha Ngono,UKIMWI unaua!

    14. #51
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,486
      Rep Power : 50830
      Likes Received
      9397
      Likes Given
      14588

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Quote By sweetlady
      Sijasoma ila nimenuna! Hujambo Catherine kipenzi cha roho yangu???
      Heheheeee kakupa cheo
      Kama pangekuwa na mshahara ungekuwa unapata TGS.....
      Mtambuzi likes this.
      Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
      Acha Ngono,UKIMWI unaua!

    15. #52
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,335
      Rep Power : 36533
      Likes Received
      7486
      Likes Given
      4604

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Quote By Erickb52
      Hivi umesahau thread inasemaje?
      Umbea so hata Catherine amekutaja kuwa we ndio mama Lao kwa umbea lol huna aibu mwanamke wewe kusema wanaume! Mtafute BADILI TABIA mje na wimbo wa Hao Hao wa AT
      Hehehehe....Mjumbe ulinambia nikabisha katu katu , katika hii dunia wengine majini watu *2
      Mi naona bora mfanye yanaowahusu, huo umbea wenu msopitwa kama kasuku......ninyi ni kama kasuku mnanifuata huku.....hao hao hao hao wajuaji wa kusema .....hao hao hao hao wanasema yasiyo maana!.....haya umeridhika?
      Life without problems never make a strong and good person!

    16. #53
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,335
      Rep Power : 36533
      Likes Received
      7486
      Likes Given
      4604

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Quote By Erickb52
      Heheheeee kakupa cheo
      Kama pangekuwa na mshahara ungekuwa unapata TGS.....
      Life without problems never make a strong and good person!

    17. #54
      Remmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Location : home
      Posts : 4,342
      Rep Power : 7768
      Likes Received
      1546
      Likes Given
      1793

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Quote By Erickb52

      Saloon hizi zina mambo......................... ...

      “Shoga unamuona yule kaka alivyo mzuri, yaani ana sura nzuri utadhani mwanamke.” Alisema cacico -Hapa alimsema X HB wake

      “Mwenzangu hayo macho je? Mwanaume ana macho mazuri kama nini, na kifua chake mmekiona? Na huo ndio ugonjwa wangu…..” Alidakia BADILI TABIA

      @Remmy alidakia...... Ni mzuri ndio, lakini kizuri hakikikosi kasoro?” Hapa wanamsema Bishanga )

      Wale wenzie wakamuuliza ana kasoro gani?

      Hana kazi mwenzangu..........Yuko mtaani tu na anashinda

      vijiweni na jioni utamkuta uwanjani anajifanya kocha anafundisha mpira timu ya watoto wa hapa mtaani
      ........... “ Alijibu yule dada.

      “sasa hiyo ndio kasoro?” Yummy

      alidadisi........

      “Hee, mwanaume asiye na kazi atamtaka nani? Nani atamtaka mwanaume suruale........” sweetlady alijibu kisha wote wakacheka kwa pamoja kwa kebehi................

      Duh, mazungumzo yale yalinifanya nitafakari.... Hivi siku hizi mwanaume asiye na kazi huchukuliwa kwamba ana kasoro!

      Nilibaki mdomo wazi.
      Lol mi sina neno
      Nimeamini wanamke Umbea[/QUOTE]

      Bado naendelea kusisiiza kila kizuri hakikosi kasoro, hukukosea Erickb52, mwanaume ngawira bana.

    18. #55
      Remmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Location : home
      Posts : 4,342
      Rep Power : 7768
      Likes Received
      1546
      Likes Given
      1793

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Quote By Mtambuzi
      Sasa kukosa kazi ndio iitwe kasoro!Mimi najua mtu kuwa na kasoro ni kuwa na upungufu wa viungo...........Mna visa nyie
      Hujui pesa kwa mwanaume ni kiungo cha mwili?

    19. #56
      Remmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Location : home
      Posts : 4,342
      Rep Power : 7768
      Likes Received
      1546
      Likes Given
      1793

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Quote By Kaizer
      Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika
      Umenena vema Kaizer, mwanaume kuhangaika sio sura wala suruale.

    20. #57
      shikolo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th April 2012
      Posts : 68
      Rep Power : 371
      Likes Received
      16
      Likes Given
      14

      Default

      Quote By Mtambuzi
      Si mnataka usawa?
      Lakini sie hatuwapi majina ya kebehi hata kama hamna kazi....
      Mmezidi bana.
      Si nyinyi ndio mnatuitaga magoli kipa?

    21. #58
      Remmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Location : home
      Posts : 4,342
      Rep Power : 7768
      Likes Received
      1546
      Likes Given
      1793

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Quote By Mtambuzi
      Kama huna kazi mkuu, basi wewe una kasoro..................!
      Haswaaaa, si mwanaume kamili.

    22. #59
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,718
      Rep Power : 22527
      Likes Received
      6374
      Likes Given
      2848

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Basi nishajigundulia. Nikitaka kujua habari za Remmy kwa undani wake, na kama ameshawahi kupangiwa chumba Mabwepande na Ritz basi naenda Salon ya pale kwao Kimara Temboni, nikimpa Chipthi kuku mdada mmoja ananieleza a 2 z!.
      mtu chake likes this.

    23. #60
      Remmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Location : home
      Posts : 4,342
      Rep Power : 7768
      Likes Received
      1546
      Likes Given
      1793

      Default Re: Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

      Quote By PakaJimmy
      Mimi mwenyewe mwakajuzi nilikuwa na kasoro, mwaka jana sikuwa na kasoro, mwaka huu hadi mwezi wa 5 nilikuwa na kasoro, lakini tangu june sina kasoro!
      Hahahahaaaaaaaaaa.........
      Usiwe na wasiwasi wewe hatujakusema na wala hatutakusema kamwe.

    Page 3 of 14 FirstFirst 1234513 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...