Heshima kwenu wadau..mimi nimekua mgeni kwa mda mrf bila kua na account ila kwa sasa nimeamua kua mdau naombeni malezi yenu na ninapokosea mnikosoe na sio kunitukana kwa kua watu wengine ni wakali sana...shukrani,.. smile ,preta, mwali ni majina niliyoyakariri mda mrf sana.

1. Hivi kwenu hakuna wazee..hebu tupe salamu inayotustahiki.
2. Halafu umeingiaje MMU kabla hujaripoti kwangu?
3. ID Yako ya awali ilikuwa inaitwaje vile
4. Mwisho wewe ni ke au me
kwa umri wako inafaa usamehewe kwa kuingia moja kwa moja chumbani tena cha baba na mama bila kubisha hodi...haya rudi kaanze kuleee halafu ndo taratibu utaelekezwa utaonana na Preta pale kila kitu atakuelekeza
By FAMILY LAW
PLATOZOOM shikamoo japo hata mimi ni mkubwa ninakaribia 30. sijawahi kua na ID humu..mimi ni ke
VINCI utakua unanionea sana..nataman kujibu mojakwa moja ktk comment yako ila bado najifunza bahati nzr nimezaliwa na kukulia kijijin ambako hakuna haya mambo
PLATOZOOM shikamoo japo hata mimi ni mkubwa ninakaribia 30. sijawahi kua na ID humu..mimi ni ke
Uliposema wewe ni ke basi nimekusamehe...halafu huna haja ya kunipa shikamoo watoto kama nyie mnahitaji kupewa fursa...........Karibu sana FAMILY LAW eehh
Follow Us Here