Kuna mijitu inatokea lile jukwaa la stress, inakuja humu inajifanya inasoshalaizi, limtu lenyewe likiwa kule linachefua, afu huku linajifanya linajichetuua, na kujidai lina upendo sana na sisi. Hebu mtuondokee huko...

huwa ana moods yule kaka! khaaaaaaa! pole mwaya asikuharibie amani yako, mpotezee tu.
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
shindwa,shindwa,shindwa a a a a a a a a a a a nan ex wako! plz futa kauli yako. . . Mphamvu
Jamani cacico miss you toka kwa moyo!
Nice weekend eeh
Teh teh teh! Atakuwa Erickb52
Kumbeee!
Mokili mobimba mkuu, sijui kipande hiko?
Ukinionea CUTE wangu huko njiani nisalimie...
Ngojeni aje humu ndo mtaprove asemayo mtoa mada!
Follow Us Here