jamani naomba kuhuliza hivi ukimkuta mwanamke ana jinsia mbili ya kike na ya kiume na zote zinafanya kazi utadili nae au utakamkimbia?
jamani naomba kuhuliza hivi ukimkuta mwanamke ana jinsia mbili ya kike na ya kiume na zote zinafanya kazi utadili nae au utakamkimbia?
Mbona Kongosho anazo mbili lakini bado kuna wakware humu wanamsanrandia?
Ingawa akishakuwa nazo mbili utawezaje kumdefine kama ni me- au Ke-?
Knowledge is knowing that a tomato is a fruit, but Wisdom is knowing not to put it in a fruit salad
I will deal with her.
kwani kimetokea nini mpka ukawaza hayo..??!!
The signature you are looking at now does not exist.....
Follow Us Here