Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hili likikutokea ufanye nini?

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 26 of 26
    1. #1
      Mnyampaa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th January 2011
      Posts : 240
      Rep Power : 470
      Likes Received
      58
      Likes Given
      15

      Default Hili likikutokea ufanye nini?

      Huu ni mkasa wa kweli umemtokea ndugu yangu

      Nilikutana na binti mmoja ambaye alikuwa akiishi kwa shemeji yake (mume wa dada yake) ambaye alikuwa rafiki yangu wa karibu sana. Nikampenda sana binti huyu na tukawa na uhusiano wa karibu kwa muda mrefu. Baada ya kuona tabia njema ya binti huyu niliamua kuweka kitu ndani (kumuoa) na nikalipa mahari nyumbani kwao na tukaanza maisha. Baada ya mwaka mmoja mke wangu akajifungua salama mtoto wa kiume. Kuzaliwa mtoto huyu ilikuwa mwanzo wa machungu ya maisha kwangu kwani mtoto alikuwa mweupee wakati mimi na mke wangu ni weusi kama mpoki. Sikuwa na wasiwasi sana kwani nimesoma biology kidogo, nikajua ni rangi ya bibi mzaa babu hiyo. Kadiri mtoto alivyozidi kukua alianza kufanana kwa kila kitu na yule rafiki yangu ambaye ni shemeji ya mke wangu. Mke wangu alikuwa akinifariji kwa kauli za kizamani eti mtoto wetu anafanana na mtoto wa shemeji yake kwasababu wakati mjamzito alikuwa anapenda kukaa naye. Mwenzenu sina raha kabisa kwa sababu mtoto ameota meno na mwanya unaoshabihiana na wa huyu rafiki yangu na kwetu hatuna mwenye mwanya wala ndugu za mke wangu hakuna kitu mwanya. Naombeni ushauri nimechanganyikiwa!

    2. Study Abroad

    3. #21
      sijui nini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2010
      Location : home
      Posts : 1,743
      Rep Power : 7635
      Likes Received
      497
      Likes Given
      445

      Default Re: Hili likikutokea ufanye nini?

      aah ...bwana eeehh...mi sijui hata niseme nini hapo...!! pole tu..
      The signature you are looking at now does not exist.....

    4. #22
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,044
      Rep Power : 14517
      Likes Received
      6408
      Likes Given
      4998

      Default Re: Hili likikutokea ufanye nini?

      hii thread imecomplete my day, khaaaaaaaaa! kweli waeza ona tatizo kumbe la mwenzio ni roba la misumari kha! pole mwaya!
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    5. #23
      Catherine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2012
      Location : Dar
      Posts : 1,241
      Rep Power : 595
      Likes Received
      739
      Likes Given
      208

      Default Re: Hili likikutokea ufanye nini?

      We lea tu mtoto, ila safari ijayo hakikisha unatoa mbegu black tiií toto litoke jeusi,

    6. #24
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,436
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14534
      Likes Given
      22033

      Default

      Quote By cacico
      hii thread imecomplete my day, khaaaaaaaaa! kweli waeza ona tatizo kumbe la mwenzio ni roba la misumari kha! pole mwaya!
      Wife unafanya nini huku? Nikuambie kitu? Mi huwa najiuliza wanaume wenzangu wanapataje muda wa kuwachunguza watoto? Yani badala ya kwenda bar kuongeza pato la serikali kwa kuupiga mtungi we unang'ang'ana kumchungulia mtoto. Ndo maana idadi ya wanaume wanaowamega mabinti zao inazidi kuongezeka. Hebu kam zis way bana unipe bebi boi.....
      cacico likes this.

    7. #25
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,044
      Rep Power : 14517
      Likes Received
      6408
      Likes Given
      4998

      Default Re: Hili likikutokea ufanye nini?

      Quote By Asprin
      Wife unafanya nini huku? Nikuambie kitu? Mi huwa najiuliza wanaume wenzangu wanapataje muda wa kuwachunguza watoto? Yani badala ya kwenda bar kuongeza pato la serikali kwa kuupiga mtungi we unang'ang'ana kumchungulia mtoto. Ndo maana idadi ya wanaume wanaowamega mabinti zao inazidi kuongezeka. Hebu kam zis way bana unipe bebi boi.....
      umeona eeeee?? umejuaje nataka bebi boy jamani?? hivi ulisema tutamuita nani vile kha!
      Asprin likes this.
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    8. Miaka 50

    9. #26
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,555
      Rep Power : 5613
      Likes Received
      6210
      Likes Given
      2281

      Default Re: Hili likikutokea ufanye nini?

      khaaaaaaa, dna ndo solution.....

    10. FemaTV & Radio
    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...