hebu nambie we mwanachit chat unafanya nini saiv? me ndo kwanza naenda zangu mkesha kanisani!!!!! we je?
hebu nambie we mwanachit chat unafanya nini saiv? me ndo kwanza naenda zangu mkesha kanisani!!!!! we je?
nipo tu on bed halafu hamna usingizi
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
eeh,mkesha ndugu yangu c unajua tena
mi nipo zangu kwa bed..nawaza mambo yangu huku naperuuuuz ndan ya jf..
leo kuna mkesha wa kitu gani? au ndio mambo ya baba mchungaji
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Ndio napata chakula cha usiku.
Napata Konyagi pori hapa...
Happiness Begins With Facing Life With A Smile And A Wink.
mie nipo kwa bed having a good time na moenzi wangu computer.
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
Nataka nianze kumwombea dr uli.
Me nambembeleza dogo anaumwa, mana analia balaa, so ucngizi kwishney
Mi ndio naamka...napitia yalojili night chitchat kati ya platozoom na charminglady
Pole Kijino
Ameamkaje leo katotoo?
Hope amepata nafuu
Follow Us Here