Heshma kwenu wadau. Nimekuwa nikijiuliza maswali meng ni kipi kilicho katika namba 40.Najiuliza hvo kwa kuwa inasadikiwa(sina uhakika) kuwa huwez kuwa rais wa tanzania hadi uwe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea,pia wazungu wana msemo wao wanasema LIFE STARTS AT 40,pia waislam wanaamini kuwa mtume muhammad(s.a.w.) alipewa utume akiwa na miaka 40,pia wakristo wanaamini bwana yesu alifunga bila kula chochote kwa siku 40,mtu akifa zikipita siku 40 anafanyiwa kumbukumbu ya kumwombea dua,pia inasadikiwa mvua ya gharika enzi za nabii nuhu zilidumu kwa sku 40.Mwana Jf hebu rusha events zinazohusisha namba 40 na utupe nini unaelewa katka hlo.Nawasilisha

Reply With Quote



Follow Us Here