Hakika ni ukweli unaokubalika upo juu nilidhani nimefika peke yangu lakini kwenye tafiti zangu ni wengi tu wamefika je utakubali nitoke na wewe out japo kwa kesho tu
Hakika ni ukweli unaokubalika upo juu nilidhani nimefika peke yangu lakini kwenye tafiti zangu ni wengi tu wamefika je utakubali nitoke na wewe out japo kwa kesho tu
This message has been deleted by me.
Yupo juu ya nini au wapi? Juu ya meza, stuli, kitanda au kifua?.....
Mi namsubiri preta mwenyewe aje hapa
chunga tamaa mbaya!
Pretaaaaa where r u @, unaitwa huku! kha!
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
We tongoza tu jamvini,iko siku utatokewa na njemba ina panga na keiwai,shauri lako.
Are you a platinum member?
Pretaaaaaaa!
Eti uko juu?
Si ushuke basi ? Tusemezane!
Tena hajui kuwa mtu chake ni noma lol
Chunga tamaa mbaya....
Walinzi tupo
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Usione Vyaelea meeeeen.....!
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Hahahaaaa aisee utamngoja hadi uchoke na akija atakuharibia weekend yako Preta aisee nangoja nione msimamo wako kabla hatujachukua maamuzi mazito ya kukupa zawadi au kukudelete mazima na mtu chake
Hope huna tabia kama za BADILI TABIA ambaye hashikiki kabsa
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Preta naomba kukufahamu.
Follow Us Here