Safari yenye Mkosi.
Safari toka Dar-Arusha ilitakiwa kuanza saa12.30 lkn imeanza saa 3.00asbh.
Na Hapa ni Maeneo ya Kabuku ambako tumepata pancha!
Utafikiri tunakwenda msitu wa Mabwepande aisee!!
Safari yenye Mkosi.
Safari toka Dar-Arusha ilitakiwa kuanza saa12.30 lkn imeanza saa 3.00asbh.
Na Hapa ni Maeneo ya Kabuku ambako tumepata pancha!
Utafikiri tunakwenda msitu wa Mabwepande aisee!!
Hahaha! Pancha mngepatia kwa ngulelo ndo ingekuwa safari yenye mkosi,lol! Pole baba. Angalia mahindi ya kuchemsha hapo yakuweke busy, bora salama!
Pole sana PJ... bahati yako upo JF.
Information is not knowledge
Albert Einstein
Pole sana PJ! Tunawaombea mfike salama!
Mie ndiyo maana niliachaga kusafiri na mabasi .
Nway pole Kiongozi .
Safri njema na pole sana PakaJimmy....... lol c ungeazima ungo kwa bibi yako pale kibolironi mara moja (jokes)
“You can get a thousand "no's" from people, and only one "yes" from God.”
Pj pole kamanda,ukikwamuka na kufika arusha msalimie sana Lizzy na umrushie mmmmmmmwwwwwaaaaaa........
kumbe tuko basi moja?
Na uko busy na simu jamani nakukodolea hata hunioni.
Kongosho ndo wewe umekaa na huyo mchina nn, maana naona uko tight na simu aina ya TECNO.
Follow Us Here