habhari zenyu binafsi!
wanajamvi wapi fiesta 2012? mwenye data zaidi atumwagie. . .
habhari zenyu binafsi!
wanajamvi wapi fiesta 2012? mwenye data zaidi atumwagie. . .
c hvo matumbo huwa napenda kusikia vioja vya fiesta!
Judgement......mie sinaga hulka ya kusabahi sabahi waume za watu, nilisha pigwa biti! Lol
Watu wa kujirusha utawajua tu.
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
Washamba ndo wanaendaga hiyo.
wana alama kichwani au? hv kuulza kt ni lazma uwe unakifanya. kwan wanaouliza hbr za mashoga, kula tigo ama vitu km hvo huwa wanavipractice ama huwa wanataka kuelewa? tafadhal Young _Master ucnijudge vby!
No...my dear charminglady. I was just kidding. dont take it too seriously. Kama nimekukosea am sorry
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
Mie nipo ghetto na mpenzi wangu Computer enjoying our night...How about u lovely charminglady
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
Wewe unatafutya nini huko mbalamwezini charminglady? Ukidondoka ukavunja kiuno utapata wapi spea nyingine?
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
Follow Us Here