Mbona umetupa jongoo na mti wake?
Wana jf tumekukosea nini?
Mbona umetupa jongoo na mti wake?
Wana jf tumekukosea nini?
Bishanga kwa kupaisha wewe kiboko! lolz, haya salamu kwa DC akikujibu...
"Sometimes its Ok not to be Ok"
Labda kamsindikiza Dr Uli bondeni !
Hata mimi nammiss kweli kweli. waulize Mbu na MwanajamiiOne kama wana habari yake
Information is not knowledge
Albert Einstein
Babu Dark City, nisamehe sirudii tena, siku ile ilikuwa ni valuu tu.
Yaani kuomba ka uhausi kidogo tu ukakimbia mazima? Mie mjukuu nilikuwa nakutania tu.
babu Dc come this way, nina zawadi yako ya sabasaba.....
Kweli asee mmemisi sana mzee mwenzangu Dark City. Sijui shem kamfungia ndani?
Hahaha Roulette bana, naona unawaita washkaji zako kijanja kwa kuwamention. Ngoja nami nimstue swahiba wangu klorokwini kwa mtindo wa kimodereta.
....Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate.....
by the way, sijamuona kitambo sasa! huwa ana ushauri mzuri sana kwa siye wajukuu zake, lol! Bishanga ama tuandamane??
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
Mara ya mwisho kabisa nilipanda naye basi la Shengena wakiwa na Mwali , wakashukia pale Msata wakiniaga kuwa wanachukua bodaboda hapo hadi kijiji kinachoitwa Mchambiakisu, ambako wana mfugo wao.
Tokea hapo Sijamsikia tena.
Safi sana Judgement
Shemeji cacico mi namtafuta WomanOfSubstance umenionea wapi?
Hahaha Roulette bana, naona unawaita washkaji zako kijanja kwa kuwamention(waulize Mbu na MwanajamiiOne). Ngoja nami nimstue swahiba wangu klorokwini kwa mtindo wa kimodereta.Shemeji cacico mi namtafuta WomanOfSubstance umenionea wapi?
Haya mie nawatafuta wafuatao: Nyani Ngabu - nina ujumbe wako kutoka kwa Husn Lizzy - nna habari nyeti kuhusu yule jamaa yetu fanya hima nikuhabarishe The Boss - Eliza wa Tegeta anakutafuta kwa udi na uvumba
God can heal a broken heart but you have to give him all the pieces.
Follow Us Here