Mbona umetupa jongoo na mti wake?
Wana jf tumekukosea nini?
Mbona umetupa jongoo na mti wake?
Wana jf tumekukosea nini?
Hahahaha, Mbona hamjamuuliza The Finest? Au tumpigie sim afrodenzi tuone kama aliwapokea kule? In the mean time naomba Asprin utwambie tunakutana wapi, leo weekend bwana!
Information is not knowledge
Albert Einstein
Mzima nusu cacico. Nimekumis sana tu,
Yaani babuDC toka umeshiriki njama za Husninyo kujipigisha life bana ndo umeji feel guilty hadi kutokomea mapwepande msituni?
heheh fello tablet Asprin acha nikusalim bana halaf wasalimie wanachit chat woooooooooooooooote. Mzembe nimepata jimama la ki ukraine wala msitegemee kuniona karibuni hapa JF, jimama limejifunga uzazi kabisa ili kunikomoa. Nyambaaf zangu loya.
gud night, hapa ukraine kesho tunashelehekea mwaka mpya
WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
Wapi malaria...?
Msalamie na The Finest nasikia Balotelialimpa kibarua cha kumfulia jezi wakati wa yuro ndo kajilipua anadai yeye ni mkimbizi wa darfur.
Babu DC ni moja ya vichwa ninavyovikubali hapa JF,na kuna wengine wengi siku izi siwaoni........
ndio maana baadhi ya majukwaa siku izi tunachungulia tu na kutoka..
Usiibe kabla giza alijaingia....
Duhhhhhhhh.....
Hata sijui nianzie wapi....ila ukweli ni kwamba I am very humbled by your concerns!!
Iwe mshaija Ta Bishanga.....sijui nikushukuruje ila ukweli ni kwamba Babu ni mzima na Bibi Pia...Walienda kuchungulia maeneo ya ng'ambo ya Lweru ambako nyumba zote za wageni zimevalishwa mipira ya watoto kuzuia kunyweshea matandiko!!
Mzee mwenzangu Asprin na wakuu wengine wote.....My big salute kwenu!!
@ BADILI TABIA...lazima nikutafute unipe zawadi yangu ili nimpatie Bibi DC aitunze!!
Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!!
Babu DC ....1947!!!
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]
Salamu genuine hizo....au za kichina??
Hapana Katibu.....Babu aliamua kujificha tu ili kuitafakari hii dunia inavyokwenda ndivyo sivyo!!
Duuuuhhhh......Naona wewe hunitakii mema....Hii msg yako haijafika kwa Kova??
Umenza lini uchokozi RR?????
Usiwe na shaka dada mkuu.....Babu yuko fit....atarejea soon!!
Kumbe ni zawadi toka Sabasaba...Hiyo haina tatizo kabisa...Babu DC ataipokea. Mwanzoni nilidhani unaandaa zawadi kama zile anazopenda mzee mwenzangu Asprin....lol!!
Mzima wewe??....Nasubiri ripoti ya maganda na risasi!!
Ahsante sana cacico, naomba tusiandamane kwa sababu kuna tishio la wale vibaka wa Somalia.... na Kova hatasita kutumia hizo taarifa za kiintelijensia kuvunja vunja taya za wajukuu!!
Kamanda mbona unauza data????
Natumai mambo yanakwenda mswano!!
Babu DC!!!
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]
Follow Us Here