Andika "N" kama jibu ni Ndiyo
Andika "H" kama jibu lako ni Hapana
Andika "S" kama hujui jibu.
Swali letu la leo la kipima joto ni:
1.Eti bishanga ni tajiri kuliko balesa?
2.Eti Asprin ujanja wa bure tu kumbe jogoo halipandi?
3.Eti kumbe Kongosho katika maisha halisi ni Mwigulu Nchemba?
4.Eti Zinduna ni mhaya pyua?
5.Eti BADILI TABIA ana mabwana kibao jf?
6.Eti Eiyer naye siku hizi anatoa 'like'?
7.Eti Madame B bado ameuchuna hadi leo hatoi 'like'?
8.Eti maMoDs wanaanza mgomo kesho kisa Paw kateguliwa kiuno na Roulette?
9.Eti Erickb52 na Amyner wameachana,kisa erick hataki kumlipia Amyner u bronze member?
10.Eti kumbe gfsonwin na Kaizer wanafanya kweli?
matokeo ya kipima joto yatatolewa kesho muda kama huu.
1.Eti bishanga ni tajiri kuliko balesa? N (Kwa sababu una mashine 10 za kusaga unga wa mtama)
2.Eti Asprin ujanja wa bure tu kumbe jogoo halipandi - S
3.Eti kumbe Kongosho katika maisha halisi ni Mwigulu Nchemba - N
4.Eti Zinduna ni mhaya pyua - H...... (amechanganya na damu ya kimakonde)
5.Eti BADILI TABIA ana mabwana kibao jf - N........ ila msiri sana
6.Eti Eiyer naye siku hizi anatoa 'like'? N (ila kwa mademu tu)
7.Eti Madame B bado ameuchuna hadi leo hatoi 'like'? H
8.Eti maMoDs wanaanza mgomo kesho kisa Paw kateguliwa kiuno na Roulette? - N (najua siri ila naogopa selo)
9.Eti Erickb52 na Amyner wameachana,kisa erick hataki kumlipia Amyner u bronze member? N
10.Eti kumbe gfsonwin na Kaizer wanafanya kweli? N (Ulikuwa hujui Kaizer ni shemeji shemeji huku azima taa)

Bishanga kuna mwanaume mmoja humu ndani kila nikimfukuzia anakwepa, kila nikimtokea anaingia miyini, anaitwa TANMO, tafadhali msaada peleka ujumbe........
Bishanga utakuwa huna hela wewe! mbona una majungu sana? afu muulize Asprin kilichompata kwa kunilengeshea kwa Erickb52, PAW atakushughulikia hutoamini! usinitaje! Roulette, siku hizi hatugombei wanaume kabisaa! Ila ukimuona PAW wangu anakufuatilia ujue nimemtuma.
Bishanga utakuwa huna hela wewe! mbona una majungu sana? afu muulize Asprin kilichompata kwa kunilengeshea kwa Erickb52, Paw atakushughulikia hutoamini! usinitaje! Roulette, siku hizi hatugombei wanaume kabisaa! Ila ukimuona PAW wangu anakufuatilia ujue nimemtuma.
Hehehehee King'asti unajifanya unamkinga kifua eeeh
Mi nataka Roulette nimuweke mikononi ili namimi nijidai pasiwe na wa kunigusa...!
Roulette mama....come to ma world nikupe love hadi wanoko washangae....!
Say yes nikupe surprise sasa hivi!
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Bishanga kuna mwanaume mmoja humu ndani kila nikimfukuzia anakwepa, kila nikimtokea anaingia miyini, anaitwa TANMO, tafadhali msaada peleka ujumbe........
Hahahahaaaa TANMO ni mashine sio akina Bishanga wanaolegea kwa kuitwa Sweetie au baby
Hahahaaaa pale ni gang Star hupawezi baki na akina haoooooo!
Hehehehee King'asti unajifanya unamkinga kifua eeeh
Mi nataka Roulette nimuweke mikononi ili namimi nijidai pasiwe na wa kunigusa...!
Roulette mama....come to ma world nikupe love hadi wanoko washangae....!
Say yes nikupe surprise sasa hivi!
1.Eti bishanga ni tajiri kuliko balesa? N (Kwa sababu una mashine 10 za kusaga unga wa mtama)
2.Eti Asprin ujanja wa bure tu kumbe jogoo halipandi - S
3.Eti kumbe Kongosho katika maisha halisi ni Mwigulu Nchemba - N
4.Eti Zinduna ni mhaya pyua - H...... (amechanganya na damu ya kimakonde)
5.Eti BADILI TABIA ana mabwana kibao jf - N........ ila msiri sana
6.Eti Eiyer naye siku hizi anatoa 'like'? N (ila kwa mademu tu)
7.Eti Madame B bado ameuchuna hadi leo hatoi 'like'? H
8.Eti maMoDs wanaanza mgomo kesho kisa Paw kateguliwa kiuno na Roulette? - N (najua siri ila naogopa selo)
9.Eti Erickb52 na Amyner wameachana,kisa erick hataki kumlipia Amyner u bronze member? N
10.Eti kumbe gfsonwin na Kaizer wanafanya kweli? N (Ulikuwa hujui Kaizer ni shemeji shemeji huku azima taa)
matokeo ya kipima joto yatatolewa kesho muda kama huu.
Nakuonea huruma,subiri BT,Paw na Roulette wakushukie,leo ndo utajua kwa nini kitumbua sio andazi.
Kama kila kuvuta mtakua mnakurupuka basi hamto fika popote. fateni igeni mfano ya wanao vuta ili kuongeza akili:
Hao wengine wanaziongeza wapi sema hujapata nafasi ya kuwa nao ndio utajua Bange haiongezi akili zaidi ya kumpeleka mtu speed kichwani
Ded wimbo wa Bange wa 20% kama unaujua

Follow Us Here