Nilikuwa nawaza maisha yalivyo magumu.....ghafla nacheck kwenye screen nakutana na like ya The queen of JF Moderators Roulette kwenye post yangu..........ghafla nikahisi kijoto fulani kinapita ndani ya vein za moyo wangu. Faraja na mahanjam yakauengaenga moyo na ubongo bila tashtiti.
Matatizo hayajaisha ila angalau kwa dakika kama 20 nilikuwa na raaha.
Mashalaaah Roulette
platozoom
Merged with :

Reply With Quote









Follow Us Here