Chukua 259 zidisha kwa umri
wako, jibu utakalopata zidisha
kwa 39, utapata tarakimu sita,
katiaka kila tarakimu mbili
itaonyesha umri wako.
(Proches J, 2012).
Chukua 259 zidisha kwa umri
wako, jibu utakalopata zidisha
kwa 39, utapata tarakimu sita,
katiaka kila tarakimu mbili
itaonyesha umri wako.
(Proches J, 2012).
huwezi ukatumia hiyo formula kwa wenye miaka 1-10
au 100 kwenda juu
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
JANA SI NIMEKOSEA BOMA NIKAINGIA KWA MAMA MKWE, IMELEWA SANA JANA. CHIBOROIKWE IMECHOOOOKA SANA LEO!!
usanii huo
oooh it works , wonderful trick
CHADEMA mwendo mdundo - T 2015 CDM
Kama umri unao tayari, what are we trying to prove? Nilitamani hiyo formula itusaidie kutafuta umri wa mtu ambao haujulikani.
Waliopo hatuwataki, na wanaotaka tuwape hatuwaamini...........Mrisho Mpoto.
MYPEOPLE PERISH FOR LACK OF KNOWLEDGE. HOSEA 4:6
Mleta mada hajasema kutafuta umri, Mada iliyopo ni kuhakikisha umri (Uhakiki wa umri).
t eh teh nashukuru kuijua jf kwa sababu zaidi ya Chuo kikuu au mossad na CIA
hahahaha hata mie imeonesha hivo! duh.........
“You can get a thousand "no's" from people, and only one "yes" from God.”
hesabu za kitoto kama ccm
JANA SI NIMEKOSEA BOMA NIKAINGIA KWA MAMA MKWE, IMELEWA SANA JANA. CHIBOROIKWE IMECHOOOOKA SANA LEO!!
unataka kuthibitisha nini ase man?
Logic less!!!!
"LIFE IS NOT A HAVING AND GETTING BUT A BEING AND BECOMING" Mathew Arnold.
Uvivu wa Darasani huo
Wale wa ngwini vipi?
Mkuu hiyo calculator yako imekudanganya.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Sijakuelewa kwani unataka tu prove nini?
Follow Us Here