Mamboz wanaCC. . . Hebu tujikumbushe vitendawili!
kitendawili . . . . kuku wangu katagia mwibani . . . . . .
ukitoa jibu nawe unatega! karibuni.
Mamboz wanaCC. . . Hebu tujikumbushe vitendawili!
kitendawili . . . . kuku wangu katagia mwibani . . . . . .
ukitoa jibu nawe unatega! karibuni.
nanasi
kitendawiliii....huku bonde na huku bonde katikati mfereji
kinywa changu hakikauki maji.......................... .
ASIYEUMBA HAUMBUI
mh,nimekosa nakupa mji, nenda tandahimba! Madame B
kitendawili . . . mwalimu kaanguka wanafunzi wanashangilia!!!!!
yeah,mbna kitambo Kaizer
Kitendawili........... kengele mbili zimeungana na fimbo
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
Follow Us Here