Mamboz wanaCC. . . Hebu tujikumbushe vitendawili!
kitendawili . . . . kuku wangu katagia mwibani . . . . . .
ukitoa jibu nawe unatega! karibuni.
Mamboz wanaCC. . . Hebu tujikumbushe vitendawili!
kitendawili . . . . kuku wangu katagia mwibani . . . . . .
ukitoa jibu nawe unatega! karibuni.
Tendawiliiiiiiiiiiii,,,,,,,
Tega nikutegueeeeeeee........
Mwiba Jakubumba , kitendawiliiiiiii....
Namkata mwenyewe,nalia mwenyewe...
tendawiliii!!!!!!!!!!!!
Ni kipofu ila hakosei njia ya kuelekea kwake.
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
Madame B mi nakusubiri we ulale kwanza ili nijiachie kwa uhuru,mbona hulali sasa?
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
kitendawiliiiii...ukitaka kulila, sharti utengeneze shimo...utie kidole...kisha ulichokonoe!!
....ukubwa AKILI...NDEVU uchafu...
Follow Us Here