Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Pamoja na kuwa na sura na tabia za kijelajela lakini hakika ubunifu wako unaibeba chi chat.Tulizana sasa,stick to what you can do best,to cheat chat,achana mambo ya kupimana ubavu na kina mwanakijiji,wale mabaunsa bongo zao kila siku ziko gym,wataishia tu kukuchomekea ban.Hivi huoni raha warembo wanavyokushobokea chit chat? Embu nambie mwanamke gani ashawahi kukutaka huko kwingine ,FF au nani?


Reply With Quote




Follow Us Here