Re: asprin uko juu

By
Asprin
Hahahaha.... ngoja laaziz wangu
cacico na my wifey material
BADILI TABIA na asali ya ODM
Kongosho waje wanisaidie kushukuru. Manake mbichwa huoooo!!
Lakini unasema kweli
Bishanga huku ni full maujiko. Muda si mrefu nimetoka kupokea simu ya
Yummy anataka tukutane Fyatanga nimlishe nyama ya mbuzi.
charminglady naye kanambia yuko njiani anakuja
babu Asprin nakuja saiv! Nilikuwa church nafanya maombi kwa ajili ya mchumba yule niliyekupm naona mambo yanakaribia lilililiiiiiiiiiiiiiii yan acha tu!
“You can get a thousand "no's" from people, and only one "yes" from God.”
Follow Us Here