MziziMkavu aka mziziology ameamua kubariki mgomo jf doctorz kwa members wake kutorudisha fadhila.amejikita sana kwenye magojwa malovee aka mahaba ni mtaalamu sana magojwa hayo ni ukimwi,kisonono,nguvu za kiume lakini nguvu za kike maunjanja yalimuishia mengine utamalizia mwenyewe...............,swali: Je ni halali kwa doctor huyu kugoma na kuwaasha wana jf wakichungulia kaburi?af isitoshe nimeshafanya uchunguzi na kukundua kuna mgonjwa anahitaji Tiba ya kisonono kule na hana msaada. nawakilisha bila chegachega

Reply With Quote

Follow Us Here