..sina NENO lingine.....zaidi ya...
...ukimuona utamuona NATURALY...sio mpenda MAKUU
...na KILA nikitazama nazidi KUMPENDA.. TU...
..Mtoto Hana Mapozi...na wala si SISTA duu.. Preta
..sina NENO lingine.....zaidi ya...
...ukimuona utamuona NATURALY...sio mpenda MAKUU
...na KILA nikitazama nazidi KUMPENDA.. TU...
..Mtoto Hana Mapozi...na wala si SISTA duu.. Preta
Last edited by mtu chake; 2nd July 2012 at 13:53.
@@
Nipo baby, bado nakumbuka mara ya mwisho wakati unaniaga naenda lupango. Nimeamini unanipenda laazizi wangu.
nakupendaje thatha mimi?? na unajua nakupenda basi dekooo kha! deka bby wangu, waache wakuite babu, kwangu ndio kwanza una umri wa lulu!
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
hili jukwaa punde litageuka MMU...
Huo ni ugonvi sina sababu yakuomba kibali cha kukupiga!!Nakuomba ndugu mtu chake rudi nyuma fikiria upya naikiwezekana muombe Paw afute hii sled maana!!ili uhusiano wetu mimi nawewe uendele kuwepo!!!..........Nawewe Preta si haki yako kukaa kimya!!unaonyesha unyonge wako kama nikitu kinawezekana simama sema Hapana ninaye ambaye ni KakaKiiza ...Naomba shahidi yangu ndugu Erickb52.Mimi sirudii na siongei mimi ni vitendo basi...fikiria tena uamuzi uliouchukua usije ukakugharimu kila ra heri!!!
Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!
Follow Us Here