woooooooooow this coming from you swtlo
gfsonwin am sooooooooooooooo humbled! nimefurahije sasa?
hata hivyo ilikwua imeandikwa babu ODM atakufa na siku hiyo hiyo atafufuka kutoka kuzimu
Nawashukuru sana wana chit chat waandamizi,
Kongosho, u r so special and u were instrumental katika kuhakikisha anatoka, kuandamana uchi chuku chuku na
Judgement sio kazi ndogo, lile tamko lingeleta zahama kama lingetolewa
Madame B, mkwe
cacico,
BADILI TABIA,
Erickb52 mdogo wangu (aliacha kupiga ndovu)
Pombekali,
platozoom,
ODM,
Mazandu, mjukuu mupya
Catherine wote mlishiriki kikamilifu, na busara za
Invisible zikamwachia
Asprin HUKO ALIKO
gfsonwin baby am so thankful tufurahi pamoja and i can imagine candle nite itakuwa sio mchezo leo, wadogo zako
Excellent na
Eiyer na Smile waje tu ila watakuwa na sehem yao maalum ya kukaa.
Follow Us Here