Mi nilisoma mzumbe" but sina sifa ulizotaja, naona umeamua kukipa shavu chuo chetu cha kijijin mvomero, konda msaada kanisani au niache changarawe....
Yaani kwa kuhisi charming lady ur still in college, usibishe maneno yako na threads zako tu yanaonesha paye, nssf, skill and development leavy, arrears, per diem, and so on maana ukijua hivyo vitu na thread zako zitabadilika kama senetor..
Halafu inabid tuweke date ukifunga chuo maana jina lako tu nimetamani kukufaham,
SUA ndo nini eti? unaumwa wewe kapime... Ikiwa umekula product yoyote itokanayo na mifugo, kilimo, misitu basi ujue SUA wanahusika kwa namna moja au nyingine. either kuongeza dhamani yake au quality assuarence
Thank God nilikwenda kusoma chuo kikuu enzi hizo nchi ina university moja tu UDSM with Mwalimu Nyerere (RIP) as chancellor.
Wakati huo SUA na muhimbili zilikuwa ni campus tu,mzumbe na ifm vilikuwa ni vyuo tu vya kutoa diploma.
Sasa huu utitiri wa vyuo tutapata kweli quality graduates au ni quantity tu?
Follow Us Here