Huwa nasikia watu wafupi wana matatizo ya kisaikolojia na kila mara huwa wanajitahidi kujitutumua na wao waonekane.....kama yule jamaa oscar shelukindo? Hahahahahahah
Huwa nasikia watu wafupi wana matatizo ya kisaikolojia na kila mara huwa wanajitahidi kujitutumua na wao waonekane.....kama yule jamaa oscar shelukindo? Hahahahahahah
Sitii neno ngoja wakushambulie wenyewe
ahaa..kumbe ndio maana mama ako alikua anajipitisha kwa baba ako kilasiku mpaka aolewe?? sema bahati mbaya kutokana na ukorofi wake akapigwa talaka baada ya mwaka mmoja tu?? bado unacheka mpaka leo??
Hahahhahahah.......
uongo na uzushi mtupu....
Mm napita sitaki lawama
Walio wengi ni wabishi sana na hawako tayari kuona kwamba wamezidiwa hoja. Sababu kubwa ya wengi wao kuwa na tabia hiyo ni kwasababu ya maumbile yao. Kutokana na maumbile yao, wengi wao huamini kwamba watu warefu na wenye miili mikubwa watatake advantage ya kuwanyanyasa au kuwaonea, hivyo wanakuwa na hizo tabia kama PROTECTION MECHANISM.
Fanya tu utafuti mdogo kwa wale wafupi unaowafahamu, labda katika familia yako, jamii yako, shuleni au kazini na ulinganishe tabia ya walio wengi na watu warefu. Hii theory nachelea kusema kwamba ina uhusiano pia na watu ambao ni walemavu wa miguu hasa vilema na viwete. Je kuna ugomvi wowote au mlishawahi kupishana lugha na mtu mlemavu na ukaona anavyoreact? Hapo ndipo utakapojua kwamba, hata yule ambaye unamuhurumia kwamba ni mlemavu atakavyo kutishia amani na usalama, japo unaona kabisa kwamba huo uwezo hana na wewe unamuhurumia. Lkn haya yote yanatokea kwasababu ya SELF PROTECTION.
Mimi pia nina swali, je ni kweli wanawake wengi wembamba wana kelele sana (wagomvi)?
duh hii mada, alieitoa pia anatatizo la kisaikologia kwa kuwa nae ana waliomzidi urefu. kwa ufupi kila mtu ana mfupi wake, na hata wanawake wengi ni wafupi, mtoa mada hii atakuwa ameona matatizo haya kwa mama ake mzazi. nampa pole sana.
huu ugonjwa ni ugonjwa mfupi na mbaya kuoiko yote.
mimi nina Ft 5 na inch 9, KWA IO NINAWAREFU WANGU ILA TATIZO HILI NI La kipuuzi sana mkuu, pole
Ukiachana na mambo mengine yote ufupi ni changamoto tosha kwa mtu mfupi!am sory....
"ONE OF THE PENALTIES FOR REFUSING TO PARTICIPATE IN POLITICS IS THAT YOU END UP BEING GOVERNED BY YOUR INFERIORS" Plato
Haya wakina andunje njooni mkanushe huu uzi
Shauri zenu, nyie mnamtafuta Invisible, kwa kuwa mnajua yeye ni mfupi sasa mnamsema kwa mafumbo, BAN hiyooooo mnaitafuta, mie sitii neno, naogopa kupotezwa kwa life BAN
Mtu mfupi hata ukimwangalia tu anaona unaleta madharau, mkiongea anataka uangalie kwingine au mkae.
Keeping quiet is a war crime.
kuna mmoja namfahamu ni mtata huyo..... Sijui wengine wakoje...
Ninakubaliana na mleta mada kuwa ukorofi, ubishi vinasababishwa na matatizo ya kisaikolojia
Lakini zipo sababu nyingine pia. Watu ambao wanajihisi kuwa wana mapungufu fulani pale wanapojilinganisha
na watu wengine huwa wanakuwa na tatizo la kutokujiamini ambalo ni tatizo la kisaikolojia. Kwa mfano mtu mfupi
au mlemavu anaweza kuwa mkorofi sana kwa ajili ya hisia kuwa alichotendewa au kuambiwa ni kwa sababu ya hali aliyonayo. Mwanasaikolojia Sigmund Freud aliyebobea katika "Psychoanalysis" anaiita hali hii kuwa ni "defensive mechanism"
Ufupi ni ugonjwa..poleni wafupi.
Inferiority complex
Ungewatambulisha kwa not watu wafupi,
sema vijitu vifupi, au visheta , nyadundo, emoro, mwala etc ukiwaita "watu wafupi" hapohapo wanaanza mbwembwe.
teheteehehetetehetehetehe
"Annuntio vobis gaudium magnum... habemus papam!" - "I announce to you a great joy... we have a pope!"
Follow Us Here