Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

    Report Post
    Page 6 of 19 FirstFirst ... 4567816 ... LastLast
    Results 101 to 120 of 374
    1. #1
      Zinduna's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th November 2011
      Location : Mzizima
      Posts : 1,239
      Rep Power : 11041
      Likes Received
      1441
      Likes Given
      2026

      Default Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!


      Mrembo Erotica

      Ni matumaini yangu siku ya leo wote mu wazima wa afya na mnaendelea kulitumikia taifa hili kwa moyo mkunjufu kabisa.


      Kabla sijaanza kipindi chetu cha talk show ningependa kuchukua nafasi hii kumpa pole Bwana Bishanga kwa kisanga kilichompata wiki hii baada ya kupata msuto babu kubwa kiasi cha kulikimbia jukwaa la Chit Chart. Labda kwa ushauri wa bure ni kwamba hilo ni fundisho kwake na kwa wenzake ambao wanajifanya kiherehere kuchinganisha wapendanao humu JF.

      Pia ningependa kumtahadharisha Kongosho kwamba na yeye ajiangalie maana ngoma iko huku, asije akaangukiwa na dhahama ya ngona ya KILUGWAI.

      Haya tena leo mjengoni nipo na Mrembo wetu, honoy wetu, Loly Pop wetu Erotica. Mahojiano yangu na Erotica yatasawiri zaidi kwenye maisha yake binafsi, na maisha yake humu JF na pia kazi zake za mapema.

      Line za ku-post Comments ziko wazi, Mwana JF yeyote anaweza kutumia fursa hii kumuuliza Erotica swali lolote na yeye bila shaka atayajibu maswali yenu kwa kadiri atakavyopata muda.

      Kwa kuanza ninayo maswali kumi na tano ambayo ningependa kumuuliza Erotica:

      1. Je umezaliwa msimu gani, wa Kiangazi au Masika? Mawio au machweo?
      2. Je Ulishawahi kucheza mchezo wa baba na mama na ule wa kujificha utotoni?
      3. Je umeolewa? Kama umeolewa, Je una watoto wangapi, na kama hujaolewa, ina maana huna hata Kavulana ka kukufiligisa siku moja moja ukinyegeka?
      4. Unazungumziaje ndoa za siku hizi ukilinganisha na ndoa za zamani, namaanisha uwajibikaji kwa wanandoa, Je unadhani mahusiano ya ndoa kwa vijana wa leo yamejengwa katika misingi imara kama ndoa za mama/bibi zetu?
      5. Je umewahi kufanya mapenzi na mwanaume asiyetahiriwa?
      6. Kama umewahi, je uliona tofauti yoyote na ile iliyotahiriwa?
      7. Je umekeketwa, kama umekeketwa, Je unaizungumziaje mila hiyo ya kukeketa?
      8. Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana?
      9. Je ni tukio gani liliwahi kukufurahisha sana
      10. Je unapenda kuvaa nguo za aina gani?
      11. Je unapenda chakula cha aina gani?
      12. Ukipata fursa ya kupata chakula cha usiku (Dinner) na Mzee Asprin, utamshauri kitu gani?
      13. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?
      14. Je una ushauri gani wa MODS wa JF
      15. Je una ushauri gani kuhusu hiki kipindi cha Zinduna Talk Show…….

      Haya nakaribisha maswali yenu wadau na hivi punde Mrembo wetu Erotica atakuja kuyajibu maswali yenu.

      Karibuni sana

      Last edited by Zinduna; 23rd June 2012 at 10:15.

    2. RukaaJuu Final

    3. #101
      Zinduna's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th November 2011
      Location : Mzizima
      Posts : 1,239
      Rep Power : 11041
      Likes Received
      1441
      Likes Given
      2026

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

      Quote By Bishanga
      Kiss me more na ubusu niniliyu yangu.....

      Lione vile, bayaaaaaaaa!

    4. #102
      Bishanga's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 29th June 2008
      Location : SIRIUS
      Posts : 13,397
      Rep Power : 33554
      Likes Received
      8062
      Likes Given
      7565

      Default

      Quote By Erotica
      mwaaaaaaaah tu u. mwaaaaaah kwenye naniliyu. na mwaaaaaah on ur mouth.
      Waniua ua kipenzi waniuaua,waniuaua kipenzi waniuaua,
      Macho yako ya goroli waniuaua,
      Na hilo busu lako waniuaua....àaaaa
      Mmmmmmmwwwwwwàaaaaaaaaaaa
      Erotica likes this.

    5. #103
      Bishanga's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 29th June 2008
      Location : SIRIUS
      Posts : 13,397
      Rep Power : 33554
      Likes Received
      8062
      Likes Given
      7565

      Default

      Quote By Zinduna
      Hivi wewe mzee Bishanga, utakutanisha makojoleo na vimwana wangapi?
      Nasikia harufu ya wivu............
      Zinduna likes this.

    6. #104
      Zinduna's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th November 2011
      Location : Mzizima
      Posts : 1,239
      Rep Power : 11041
      Likes Received
      1441
      Likes Given
      2026

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

      Quote By Bishanga
      Nasikia harufu ya wivu............
      Utasutwa tena, wewe hukomi tu!

    7. #105
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

      Quote By Zinduna
      Mamito Erotica, leo naona talk show imekubamba kweli

      ni kweli mpenzi. asante kwa kunipa hii nafasi mamito. sasa nipumzishe hivi viumbe

      vinahitaji mama yao ajilaze na kujipumzisha sasa. mwaaaaaaaah.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!


    8. Miaka 50

    9. #106
      Zinduna's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th November 2011
      Location : Mzizima
      Posts : 1,239
      Rep Power : 11041
      Likes Received
      1441
      Likes Given
      2026

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

      Quote By Erotica
      ni kweli mpenzi. asante kwa kunipa hii nafasi mamito. sasa nipumzishe hivi viumbe

      vinahitaji mama yao ajilaze na kujipumzisha sasa. mwaaaaaaaah.
      haya bibe nakutakia usiku mwema
      Ngoja mie leo nikeshe na Bishanga, nimchambe mpaka anuke shombo!
      Erotica likes this.

    10. #107
      Young Master's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd December 2008
      Location : Arusha, Tanzania.
      Posts : 6,127
      Rep Power : 7422
      Likes Received
      2095
      Likes Given
      1489

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

      Quote By Erotica
      ni kweli, ila ni muoga sana na somehow a kid. hawez hendo mke na hawara Ero.
      sasa Erotica naona umeamua kunitusi.
      Erotica likes this.
      Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz

    11. #108
      Roulette's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 15th December 2010
      Posts : 5,473
      Rep Power : 35629
      Likes Received
      5028
      Likes Given
      5752

      Default

      Quote By Erotica
      namwambia Roulette rudisha avata yako hii. ilikuwa inaniwezesha siku nikijilove kwa mzuka wa ke.
      Noted with a smile
      Erotica likes this.

    12. #109
      njiwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2009
      Location : ax^2+bx+c=0
      Posts : 4,959
      Rep Power : 2369
      Likes Received
      959
      Likes Given
      172

      Default

      Thank you... I have just lost 15min of my life on this cr.ap
      Erotica likes this.

    13. #110
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 10,730
      Rep Power : 27102
      Likes Received
      10089
      Likes Given
      14005

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

      Quote By Bishanga
      Ntakuja kupiga chapo,hasa mtakapokuwa mnatumia vinyoleo.......
      sasa weye Bishanga ole wako usogelee,yaani utajikuta tunakunyo wewe vinyweleo kwa ktumi jivu la moto ndipo utshika adabu. Leo wewe wala Asprin Kaizer spika Kongosho Bazazi mito cartura Eiyer na wengineo wote wanaofanana kijinsia kama ninyi hawatakiwi
      mito and Erotica like this.

    14. #111
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,485
      Rep Power : 50830
      Likes Received
      9388
      Likes Given
      14588

      Default

      Quote By Bishanga
      nimekuvulia kofia!
      Aisee huyu ndo Erotica duh
      Bishanga mi sina neno juu yake....
      Erotica likes this.

    15. #112
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,485
      Rep Power : 50830
      Likes Received
      9388
      Likes Given
      14588

      Default

      Quote By Erotica
      Erickb52 mimi mzalendo sana papito. najali nchi yangu na kuitumikia pia.
      Erotica naomba show yako irudiwe tena wiki ijayo bado maswali mengi
      Swali...Je jukwaa la wakubwa lishakusaidia hata kidogo kukuongezea maufundi?
      Erotica likes this.

    16. #113
      Kaunga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th November 2010
      Location : Wild wild west
      Posts : 8,442
      Rep Power : 13325
      Likes Received
      7667
      Likes Given
      6911

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

      I missed the live show, lkn rebroadcaste is more fun. Halafu aliyenifurahisha zaidi ni njiwa aliyespend, 1,2,3 seconds then 1,2,3.....15minutes kwenye '****' bila yeye kuwa ****.

      Thanks host wa ukwelii Zinduna na my swii Erotica kwa kufanya siku za wengi kuwa fun.

      Mwaaaaaaaaaahhh!!!!!!!
      Erotica likes this.

    17. #114
      TANMO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2008
      Location : Tanzagiza
      Posts : 5,046
      Rep Power : 7769
      Likes Received
      1808
      Likes Given
      3439

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

      Quote By Bishanga
      mmmmhhhhh makubwa,madogo yana afazali.
      Mmm, Mzee wa kuchonganisha naona umeanza kujisogeza utuchonganishe na Erotica wangu..
      Erotica likes this.
      Do Something......

    18. #115
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,335
      Rep Power : 36533
      Likes Received
      7486
      Likes Given
      4604

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

      Quote By njiwa
      Thank you... I have just lost 15min of my life on this cr.ap

      Hahahaha njiwa bana kwani hujui kuwa huku ni chit chat?.
      Erotica likes this.
      Life without problems never make a strong and good person!

    19. #116
      Bishanga's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 29th June 2008
      Location : SIRIUS
      Posts : 13,397
      Rep Power : 33554
      Likes Received
      8062
      Likes Given
      7565

      Default

      Quote By TANMO
      Mmm, Mzee wa kuchonganisha naona umeanza kujisogeza utuchonganishe na Erotica wangu..
      Erotica keshakuwa wa kwako mara hii? Hata angekuwa wa kwako mapigo yake ungeyaweza weye? Au unataka akutegue niniliyu ifungwe POP?
      sweetlady and Erotica like this.

    20. #117
      Bishanga's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 29th June 2008
      Location : SIRIUS
      Posts : 13,397
      Rep Power : 33554
      Likes Received
      8062
      Likes Given
      7565

      Default

      Quote By sweetlady
      Hahahaha njiwa bana kwani hujui kuwa huku ni chit chat?.
      Hivi wewe SL mmeo kapotelea wapi? Au alikuwa ni raia wa kigeni kapigwa PI?
      sweetlady likes this.

    21. #118
      Bishanga's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 29th June 2008
      Location : SIRIUS
      Posts : 13,397
      Rep Power : 33554
      Likes Received
      8062
      Likes Given
      7565

      Default

      Quote By Zinduna
      Utasutwa tena, wewe hukomi tu!
      Toka lini nazi ikashindana na jiwe? Bishanga is a rock!

    22. #119
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,335
      Rep Power : 36533
      Likes Received
      7486
      Likes Given
      4604

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

      Quote By Bishanga
      Hivi wewe SL mmeo kapotelea wapi? Au alikuwa ni raia wa kigeni kapigwa PI?
      Unamaanisha my lovely and sweet husband Vin Diesel au?.....manake kama ni yeye yupo kajaa tele Bishanga.....niko nae hapa anakupa hi sana!
      Life without problems never make a strong and good person!

    23. #120
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,335
      Rep Power : 36533
      Likes Received
      7486
      Likes Given
      4604

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

      Quote By Bishanga
      Toka lini nazi ikashindana na jiwe? Bishanga is a rock!
      Bishanga huwa unanipaga raha sana kwa kweli lol......una misifa ya kihaya haswa!
      Life without problems never make a strong and good person!

    Page 6 of 19 FirstFirst ... 4567816 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...