Mrembo Erotica
Ni matumaini yangu siku ya leo wote mu wazima wa afya na mnaendelea kulitumikia taifa hili kwa moyo mkunjufu kabisa.
Kabla sijaanza kipindi chetu cha talk show ningependa kuchukua nafasi hii kumpa pole Bwana Bishanga kwa kisanga kilichompata wiki hii baada ya kupata msuto babu kubwa kiasi cha kulikimbia jukwaa la Chit Chart. Labda kwa ushauri wa bure ni kwamba hilo ni fundisho kwake na kwa wenzake ambao wanajifanya kiherehere kuchinganisha wapendanao humu JF.
Pia ningependa kumtahadharisha Kongosho kwamba na yeye ajiangalie maana ngoma iko huku, asije akaangukiwa na dhahama ya ngona ya KILUGWAI.
Haya tena leo mjengoni nipo na Mrembo wetu, honoy wetu, Loly Pop wetu Erotica. Mahojiano yangu na Erotica yatasawiri zaidi kwenye maisha yake binafsi, na maisha yake humu JF na pia kazi zake za mapema.
Line za ku-post Comments ziko wazi, Mwana JF yeyote anaweza kutumia fursa hii kumuuliza Erotica swali lolote na yeye bila shaka atayajibu maswali yenu kwa kadiri atakavyopata muda.
Kwa kuanza ninayo maswali kumi na tano ambayo ningependa kumuuliza Erotica:
1. Je umezaliwa msimu gani, wa Kiangazi au Masika? Mawio au machweo?
2. Je Ulishawahi kucheza mchezo wa baba na mama na ule wa kujificha utotoni?
3. Je umeolewa? Kama umeolewa, Je una watoto wangapi, na kama hujaolewa, ina maana huna hata Kavulana ka kukufiligisa siku moja moja ukinyegeka?
4. Unazungumziaje ndoa za siku hizi ukilinganisha na ndoa za zamani, namaanisha uwajibikaji kwa wanandoa, Je unadhani mahusiano ya ndoa kwa vijana wa leo yamejengwa katika misingi imara kama ndoa za mama/bibi zetu?
5. Je umewahi kufanya mapenzi na mwanaume asiyetahiriwa?
6. Kama umewahi, je uliona tofauti yoyote na ile iliyotahiriwa?
7. Je umekeketwa, kama umekeketwa, Je unaizungumziaje mila hiyo ya kukeketa?
8. Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana?
9. Je ni tukio gani liliwahi kukufurahisha sana
10. Je unapenda kuvaa nguo za aina gani?
11. Je unapenda chakula cha aina gani?
12. Ukipata fursa ya kupata chakula cha usiku (Dinner) na Mzee Asprin, utamshauri kitu gani?
13. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?
14. Je una ushauri gani wa MODS wa JF
15. Je una ushauri gani kuhusu hiki kipindi cha Zinduna Talk Show…….
Haya nakaribisha maswali yenu wadau na hivi punde Mrembo wetu Erotica atakuja kuyajibu maswali yenu.
Karibuni sana

Reply With Quote







Follow Us Here