Hey,let this be a place to share daily hates and frustrations!!
First of i Hate it when people cut infront of a line in a bank
Hey,let this be a place to share daily hates and frustrations!!
First of i Hate it when people cut infront of a line in a bank
Last edited by Good Guy; 21st June 2012 at 07:43.
huo ni ushamba na ulimbuken square! akienda job anapost, b-fast anapost kuwa kanywa chai na vitumbua, lunch time atapost na picha ya msoc kbsa,akitoka job atapost katoka na kapitiwa na mme/mkewe. akifika hm atapost kafika. akisafr atapost,akipanda meli kwenda bk atapost. . .yan vurugu mtup. akipata mpnz anapost,akiachwa anapost kha inabore niaje!
I hate watu ambao wakiona tu cotton bud masikio yanawasha........na kuanza kuyachokonoa hadharani..... i hate i hate......
Life is too short to waste time hating anyone.........
i hate to be late.
I hate it...hope unajua nini nisemacho
In a public transport, some plain ladies believing that they are extraordinarily beautiful, talks nonsense lovely just to catch others attention. I hate that. . .
you don know. In a public place you want to show that you know. Mtu kwenye gari utasikia 'Kitiba yetu haisemi hivyo, ni kinyume cha sheria' while there is no connection whatsoever. I hate it
i hate mtu anakupigia cm, ukimuuliza we nani? badala ya kujibu anaanza kukuulza ina maana hujui me nani, ina maana umedelete no.yangu, ina maana hujasave no.yangu. hajui kama kuna kupoteza cm, ku-swap line au kubadili cm. afu smtym si lazima nisave no.yako hii ni cm yangu nina mamlaka ya kusave / kutosave no.yako!
NAchukia sana wakati naangalia movie halafu mtu anakusimulia kila kitu ndani ya hiyo movie .
Sipendi watu wanaoongea juu ya sentensi yangu.
Good Guy I hate everything you hate because I like you
life goes on.....
being in a traffic while i،m suppose to meet with someone. 10minutes ago
I hate hating thngs...
Hahaha Mmwaminifu wahusika washanisoma
Follow Us Here