Kisa cha kweli kilinitokea miaka ya nyuma huko, aisee siku hiyo nilikuwa nimelala na laaziz wangu, basi ndoto zikanipata nikaanza kumuota darling wangu mwingine, afu tena kwa sauti "Diana, Diana....", kumbe laaziz wangu pembeni hajalala bana, alinipa bonge la kofi yani nilishtuka usingizini na mkofi afu ndo kesi ikaanza sasa nitoe maelezo ya huyo Diana , Dah ilikuwa si mchezo kivumbi chake mpaka kunakucha nikanuniwa wiki, ila akaja akanisamehetukaendelea kula Bata .
Aiseee, nimeikumbuka hii, nikaona niwashirikishe wanajamvi wa Malavidavi, ndoto sometimes sio.

yani nilishtuka usingizini na mkofi afu ndo kesi ikaanza sasa nitoe maelezo ya huyo Diana , Dah ilikuwa si mchezo kivumbi chake mpaka kunakucha nikanuniwa wiki, ila akaja akanisamehe
.
Reply With Quote


Follow Us Here