am boy 27yrs!! natafuta marafiki wa kike wa ku chat na kutembeleana:
VIGEZO:
awe mkweli na muwazi
umri kuanzia 18-30
awe ana shughuli maalumu, mfano:- kazi, biashara, au mwanafunzi
sichagui kabila, dini wala muonekano
asiwe nje ya dar (kama atakuwa nje ya dar awe anauwezo wa kuja dar muda wowote)
asiwe mnafiki / mwenye majungu na mgombanishi
asiwe mlevi wala mtuniaji wa sigara
asiwe nje ya maadili ya kitanzania na asiwe na wapenzi zaidi ya 1 na kama n single girl asiwe anatanga tanga (malaya)
aliye tayari anicheki kupitia
[email protected] om
[email protected]
[email protected]
mobile 0713 644485.
land line 2128333

Reply With Quote

Follow Us Here