Be honest. Nani anakufanya/wanakufanya uipende jf? Why?
Mimi wa kwanza Kongosho! Anajibu thread haraka, avatar yake mnh, afu simwelewi anachangi kama mwanaume na sometime kama mwanamke
Be honest. Nani anakufanya/wanakufanya uipende jf? Why?
Mimi wa kwanza Kongosho! Anajibu thread haraka, avatar yake mnh, afu simwelewi anachangi kama mwanaume na sometime kama mwanamke
Kamanda Doma ye ni kazi tu
Nampenda sana Angel Msoffe kama si juhudi zake huku jf nisingesomeka kabisa
ha ha ha, Ron M una utani na mie
mie nawapenda wote, mnafanya maisha yangu na mnyampara yanakuwa marahisi zaidi.
Nampenda sana Barnabas Shadrack, huyo ndiye ananifanya nifungue Jf.
The unseen is illustrated by the seen.
Naipenda sana JF na member wake!
Last edited by Mwanyasi; 16th June 2012 at 22:32.
"Hata siku moja mkaa hauuzwi supermarket" - Mpoki
nawapenda wote......
Kongosho hata mie nakulike
"Hata siku moja mkaa hauuzwi supermarket" - Mpoki
mh,me jf ni kama stress free zone. nikiwa na hasira naingia jf kuzipooza.
Mie ni wote maana bila wao pamoja mods hakuna jf
Yule anaegawa BAN kama pipi! ndo namzimikia
Wewe una ugomvi na Paw
"Hata siku moja mkaa hauuzwi supermarket" - Mpoki
member wote wa jf nawapenda.
Yeremia 33:3
Follow Us Here