Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

    Report Post
    Page 2 of 15 FirstFirst 123412 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 298
    1. #1
      Zinduna's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th November 2011
      Location : Mzizima
      Posts : 1,239
      Rep Power : 11041
      Likes Received
      1441
      Likes Given
      2026

      Default Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Erickb52
      katika pozi

      Sublakheri wapenzi wasomaji wa JF, kwa wale ndugu zangu wakristo nasema Bwana Yesu asifiwe sana na wale ndugu zangu wengine Wapagani nawasalimia kwa kikwetu “Mizimu ya tate ikagone”

      Haya tena leo mjengoni nipo na ndugu yetu, jamaa yetu, rafiki yetu na kibuzi chetu Erickb52. Mahojiano yangu na Erickb52 yatasawiri zaidi kwenye maisha yake binafsi na kazi zake za mapema.

      Line za ku-post Comments ziko wazi, Mwana JF yeyote anaweza kutumia fursa hii kumuuliza Erickb52 swali lolote na yeye bila shaka atayajibu maswali yenu kwa kadiri atakavyopata muda.

      Kwa kuanza ninayo maswali kumi na mbili ambayo ningependa kumuuliza Erickb52:

      1. Je umezaliwa awamu ipi ya utawala katika nchi yetu?
      2. Je Ulishawahi kucheza mchezo wa baba na mama na ule wa kujificha utotoni?
      3. Je umeoa? Kama umeoa, Je una watoto wangapi, na kama hujaoa, ina maana huna hata kabinti ka kuchombeza?
      4. Je umewahi kupitisha usiku na kahaba?
      5. Je ulipojivinjari na kahaba uliona tofauti yoyote na unachokipata kutoka kwa Mke/Mpenzi wako?
      6. Je umetahiriwa, kama umetahiriwa, ulitahiriwa ukiwa na umri gani, na je ulitahiriwa kwa ganzi au kavu kavu kama wamasai?
      7. Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana?
      8. Je ni tukio gani liliwahi kukufurahisha sana
      9. Je unapenda kuvaa nguo za aina gani?
      10. Ukipata fursa ya kupata staftahi na Preta, utamshauri kitu gani?
      11. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?
      12. Una ushauri gani kuhusu hiki kipindi cha Zinduna Talk Show…….

      Haya nakaribisha maswali yenu wadau na hivi punde Bwana Erickb52 atakuja kuyajibu maswali yenu.

      Karibuni sana

    2. Miaka 50

    3. #21
      Mwanyasi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Karibu na wewe
      Posts : 1,053
      Rep Power : 839
      Likes Received
      503
      Likes Given
      986

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By BADILI TABIA
      Tobaaaaaaa tena wanakojoa huku wamesimama....
      Hawa watakua na filimbi, si bure
      "Hata siku moja mkaa hauuzwi supermarket" - Mpoki

    4. #22
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,439
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14541
      Likes Given
      22033

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By charminglady
      Erickb52 angalia valuu zisikuzie ukawa unajibu vise versa!
      Hapa charminglady ulikuwa ushamchuna Erickb52 au bado?

      afrodenzi and charminglady like this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    5. #23
      Mwanyasi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Karibu na wewe
      Posts : 1,053
      Rep Power : 839
      Likes Received
      503
      Likes Given
      986

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By charminglady
      Erickb52 angalia valuu zisikuzie ukawa unajibu vise versa!
      Atakua anachanganya na ChaArusha, akija hapa anajibu kwa speed kama anarap!
      "Hata siku moja mkaa hauuzwi supermarket" - Mpoki

    6. #24
      Mwanyasi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Karibu na wewe
      Posts : 1,053
      Rep Power : 839
      Likes Received
      503
      Likes Given
      986

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By Asprin
      Hapa charminglady ulikuwa ushamchuna Erickb52 au bado?

      Asprin, huyu sio Erotica?
      Asprin and Erotica like this.
      "Hata siku moja mkaa hauuzwi supermarket" - Mpoki

    7. #25
      Black Bat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Abbottabad
      Posts : 2,479
      Rep Power : 9580
      Likes Received
      682
      Likes Given
      575

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      aspirin kauliza maswali ambayo hayajibiki
      Asprin likes this.

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      Black Bat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Abbottabad
      Posts : 2,479
      Rep Power : 9580
      Likes Received
      682
      Likes Given
      575

      Default

      hunidai?

    10. #27
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,439
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14541
      Likes Given
      22033

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By Mwanyasi
      Asprin, huyu sio Erotica?
      Humjui Erotica? Mwanyasi bana, Erotica huyu hapa

      Kuanzia kushoto Erotica, charminglady, Zinduna na BADILI TABIA wakiwa kwenye kitchen party ya MwanajamiiOne
      afrodenzi, Mwanyasi, KARIA and 2 others like this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    11. #28
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,439
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14541
      Likes Given
      22033

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By Black Bat
      aspirin kauliza maswali ambayo hayajibiki
      Si ndo hapo? Kwa mfano nikimuuliza Erickb52 hapa alikuwa darasa la ngapi atanijibuje?

      afrodenzi and KARIA like this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    12. #29
      CUTE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2012
      Posts : 1,237
      Rep Power : 1500
      Likes Received
      582
      Likes Given
      331

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Erickb52 ulishawai kumlazimisha msichana kushiriki tendo la ndoa bila ridhaa yake??
      Asprin likes this.

    13. #30
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Buguruni Mnyamani
      Posts : 10,809
      Rep Power : 30202
      Likes Received
      4652
      Likes Given
      3477

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Afu erick kwa nini unatumia picha ya Baba V kama avatar yako?

    14. #31
      Mwanyasi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Karibu na wewe
      Posts : 1,053
      Rep Power : 839
      Likes Received
      503
      Likes Given
      986

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By Asprin
      Humjui Erotica? Mwanyasi bana, Erotica huyu hapa

      Kuanzia kushoto Erotica, charminglady, Zinduna na BADILI TABIA wakiwa kwenye kitchen party ya MwanajamiiOne
      teh teh, nimemuona kwa nyuma nikawafananisha, hapo umepati Asprin!
      "Hata siku moja mkaa hauuzwi supermarket" - Mpoki

    15. #32
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,439
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14541
      Likes Given
      22033

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By CUTE
      Erickb52 ulishawai kumlazimisha msichana kushiriki tendo la ndoa bila ridhaa yake??
      Hahahaha.... bibie CUTE unauliza nywele saluni? Mbona mara nyingi tu?

      Hii ilikuwa mwaka jana tu, akabambwa.

      Na mwaka huu akaingia kwenye anga za babu....

      Chezeya Erickb52 weye?
      afrodenzi likes this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    16. #33
      Angel Msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Posts : 6,266
      Rep Power : 1825
      Likes Received
      1397
      Likes Given
      0

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Erick52 ulishawahi kubaka?

    17. #34
      Yummy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2011
      Posts : 1,751
      Rep Power : 1895
      Likes Received
      1274
      Likes Given
      983

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By Asprin
      Hahahaha........... umeamkaje Yummy? Umefanya mazoezi au nije nikusaidia? Naona ushaniita mtu wako, na mtu wako mie nna aleji na vitambi.
      Shindwaaa, aliekwambia mie sanamu ya michelini nani??

      Umeona enzi zangu na Mtambuzi? Kipindi hicho tulikuwa bado tuna sura ya Mungu
      Mringeeee,endelea kuota tu
      Asprin likes this.
      God can heal a broken heart but you have to give him all the pieces.

    18. #35
      CUTE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2012
      Posts : 1,237
      Rep Power : 1500
      Likes Received
      582
      Likes Given
      331

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By Asprin
      Si ndo hapo? Kwa mfano nikimuuliza Erickb52 hapa alikuwa darasa la ngapi atanijibuje?

      alafu alikua hapendi shule sijui kwanini....yani hapo mama na baba wanajua mtoto kaenda skul kumbe yuko kitaa anacheza
      alafu alikua na katabia flan ivi ka kukimbiza watoto wakike toka utoto sa sijui kama kaacha ama lah!
      Asprin, Mentor, afrodenzi and 3 others like this.

    19. #36
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,439
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14541
      Likes Given
      22033

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By CUTE
      alafu alikua hapendi shule sijui kwanini....yani hapo mama na baba wanajua mtoto kaenda skul kumbe yuko kitaa anacheza
      alafu alikua na katabia flan ivi ka kukimbiza watoto wakike toka utoto sa sijui kama kaacha ama lah!
      Na Bange pia alizianzia utotoni...khaa!
      Mentor, afrodenzi and KARIA like this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    20. #37
      Yummy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2011
      Posts : 1,751
      Rep Power : 1895
      Likes Received
      1274
      Likes Given
      983

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By Asprin
      Woooooooooooow...........oohhh my goooood uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Asprin huyu umkimb...... huyu acha tuuuu
      Asprin likes this.
      God can heal a broken heart but you have to give him all the pieces.

    21. #38
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,439
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14541
      Likes Given
      22033

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By Yummy
      Woooooooooooow...........oohhh my goooood uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Asprin huyu umkimb...... huyu acha tuuuu
      He! Unamtamani mwanamke mwenzio?
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    22. #39
      Yummy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2011
      Posts : 1,751
      Rep Power : 1895
      Likes Received
      1274
      Likes Given
      983

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Quote By Asprin
      He! Unamtamani mwanamke mwenzio?
      Kuna ubaya gani????!!!!kama anavutia mi nifanyeje? Ila nikunon'goneze kitu(hata mimi niko ivo ivo)
      Asprin likes this.
      God can heal a broken heart but you have to give him all the pieces.

    23. #40
      CUTE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2012
      Posts : 1,237
      Rep Power : 1500
      Likes Received
      582
      Likes Given
      331

      Default Re: Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

      Erickb52 ni kwann ulikua haupendi kuvaa nguo ingawa umri wako ulikua mkubwa tu
      wakati unajibu maswali yetu nilikua nashauri uje ukae hapa mahali patulivu ili uweze kufikiri vizuri zaidi....najua hali a hewa mahali hapa itakuafanya ufikiri fresh
      Asprin, Mentor, afrodenzi and 1 others like this.

    Page 2 of 15 FirstFirst 123412 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...