Toka huyu mzee achukue likizo ya uzazi amempiga marufu Cantalisia kutembea, hata nje tu hatoki anachungulia nje kwa dirishani. Mtambuzi utavunja uchumba wa Rejao hutaki wajukuu zaidi yangu? mruhusu basi leo atoke ni ijumaa.

* Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere
Kweli kabisa Tai,halafu nasikia kampiga biti hataki kabisa mahusiano yake na rejao,nasikia anadai eti anataka mwanae aolewe na Taiga Wudu.
Mimi simo waliotajwa wote hao wakija hapa jukwaa litachimbika.
Jana usiku Cantalisia alinitext akiomba kwa vile leo ni friday mzee Mtambuzi lazima aende akapate moja moto, moja baridi kwa hiyo nitumie muda huo kumvisha hijabu Rejao tuingie ndani kwao maana mama atakuwa busy na vitoto.
Ong'wizukuru Shimba nawe Shimba.
Taiga Wudu ndo nani huyu tena! mi namtaka Rejao huwa anatoa kitu kidogo anapokuja kumwiba Canta hapa home.
* Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere
Mzee wa Rula usijitoe bhana subiri unyooshe mambo yasiende mrama.
* Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere
Naona umeanza kumtisha mapema kabisa Bishanga ili amalize game mapema na asikuharibie katika makoloni yako unayomiliki hapa jukwaa sijui saa hizi ni yatakuwa yamefika kama idadi ya viti vya ubunge vya CCM tehe tehe tehe.
mtu chake , Cantalisia unamtakia nini?
mmh mimi simo kumbe Cantalisia mzee akitoka unajimwaya hivyo
"Quality is always better than quantity. That's why the people I call true are few."
mtu chake unajua sababu, au unajitia hamnazo?
Naomba kufunga huu mjadala, kwanza niko bize na mwanangu Cantalisia tunaandaa kesi ya kuweka leo ijumaa.
Follow Us Here