Toka huyu mzee achukue likizo ya uzazi amempiga marufu Cantalisia kutembea, hata nje tu hatoki anachungulia nje kwa dirishani. Mtambuzi utavunja uchumba wa Rejao hutaki wajukuu zaidi yangu? mruhusu basi leo atoke ni ijumaa.

* Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere
TaiJike nakushukuru kwa hii usefu sredi maana imesaidia mdingi kunitoa kifungon,nilimharibia kwa maza ndio akanitupa kifungon.
Umeliona jibu la swali lako? Erickb52
Erickb52, Ulishawahi kuona wapi ndoa ya kanisani inakufa?
Mzee wa Rula ndio nishaachiwa kutoka jela na mzee wangu,na hawa wengine km Bishanga ni wanaonaman kuona ndoa yangu na mme wangu kipenz Rejao imevunjika,ila ndio watangoja sn,kwan ndio kwanza ndege yetu ya mahaba inapaa kwa spidi ya ajabu.
Mbona za Bishanga zinakufa?
Au unataka kusema Bishanga ni zoazoa?
Bishanga hajui kucare..
Halafu haridhiki..anataka kila mtu. Hana tofauti na Asprin na klorokwini
Sent from my BlackBerry using JamiiForums
Tatizo lako mbalu muoga sn,nilipoona umechemka niliruka getin na kwenda kwa Rejao.
Darling wangu wala ucwackilize hawa,wanajua ila tu watu km Bishanga tulishajua nia zao just wapotezee na ucome this way tayari kwa cha mchana lol!
Habari zenu jamani.... Heri ya mwaka mpya jamani.... Nashukuru tumeuona.... Gee Cee
Kwanza alifundwa na kungwi sasa yuko kwa nyakanga Mamndenyi
* Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere
Mmme wangu hapadio ninapokupendeaga,hebu njoo huku chumban achana na Bishanga
"Be good to the people on your way up,coz you might meet them on your way down"
Follow Us Here