Toka huyu mzee achukue likizo ya uzazi amempiga marufu Cantalisia kutembea, hata nje tu hatoki anachungulia nje kwa dirishani. Mtambuzi utavunja uchumba wa Rejao hutaki wajukuu zaidi yangu? mruhusu basi leo atoke ni ijumaa.

* Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere
Bishanga hapo ni nyumba ya Said Mwema hasogezi magulu baja yake.
* Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere
safi sana mzee Mtambuzi.....
rejao mwenyewe hajatoa mahari...
halafu ajilie vya bure...
fungia ndani hiyo binti....
"Behind every great fortune there is a crime."- Honore de Balzac (1799-1850)
BADILI TABIA nini tena hujui mi nilikuwa napokea advance kidogo kidogo, acha usinikatie ulaji.
* Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere
hahahahahah inabidi umfundishe Cantalisia mbinu za kutoroka, jinsi ya kuruka geti...
"Behind every great fortune there is a crime."- Honore de Balzac (1799-1850)
"Quality is always better than quantity. That's why the people I call true are few."
Akisikia Cantalisia anatajwa tu lazima aje hata kama kenye jukwaa la siasa amekula za uso
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
Hapana hiyo ni hazard anaweza nasisha makalio kunondo, Rejao keshanunua hijabu atakuja home kama shost usiku wa leo.
* Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere
Asnam, siku hizi una maneno ka nini.........Unajua nitakutovuga!
TaiJike haya nenda mtaa wa pili nishakuwekea kesi ya leo Ijumaa na hivi punde utamuona Cantalisia hapa........
Kumbe leo mko hapa siyo?
Haya binti mmoja mwenye nidhamu aliyepima afya yake miezi mitatu iliyopita aje huku kitandani aniambie kwa kina kuwa hapa sanasana mnajadili kitu gani?
Ni mimi ODM niliyebakia, ni mimi tu kuzisikia habari.
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Mzee wa Rula, huku ni sehemu ya kupumzikia, hamna ban wala stress yoyote. Watu wakinichosha kwenye siasa huwa nakuja kuliwazwa huku.
Cantalisia uko wapi?
Mtambuzi leo unalo
jitetee mkuu.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Follow Us Here