Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

    Report Post
    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast
    Results 41 to 60 of 93
    1. #1
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,962
      Rep Power : 3700
      Likes Received
      3576
      Likes Given
      5759

      Angry Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Jamani Napata tabu kuelewa ...ukizingatia nishakula chumvi nyingi sana
      Wanamanisha nini unamsalimia mtu kwa kumshika mkono harafu anakutekenya katikati ya kiganja??

      Nimeuliza hivi kwa mshangao ni baada ya kukutana nayo katika namna tofauti tofauti...hasa ukizingatia mie ni mama mwenye nyumba na pete kubwa kidoleni kuwa nina hati miliki tayari..

      1.Tukio la kwanza Nikiwa natoka church nashikana mkono na mtumishi aliyetulisha neno la mungu kama siku zote tunavyofanya enendeni na amani ya bwana ..akafanya kitendo hiki....

      2. Baba ninayemheshimu sana akiwa na mama watoto wake wote nimewasalimia kwa kuwashika mikono nikakutana na kitendo hiki....

      3.Nikiwa na mheshimiwa Rais kwenye ziara moja mtu mmoja ngazi za kuheshimika akafanya kitendo hiki..

      4.Na mtu aliyenifanya niulize zaidi ..mie nimepishana na -Boss ninayemheshimi akafanya kitendo hiki...

      ****************** Ni Nini?***********************
      jmushi1, Asprin, FP and 4 others like this.
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    2. FemaTV & Radio

    3. FP
      #41
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,228
      Rep Power : 46344
      Likes Received
      6922
      Likes Given
      6842

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Asprin
      Nami naomba nikuulize kibongobongo (dawa ya moto ni moto)

      Wakati unatekenywa katikati ya kiganja:
      1. Ulijisikiaje?
      2. Uliwaambia nini walokushika?
      3. Ulikuwa umevaaje?
      4. Kikojoleo kilifanyaje?

      Baada ya kusema hayo, hebu twende PM ukanifahamishe kama bado unatamani kutekenywa.

      Hitimisho: Usiwape wanaume mkono wako kama mikono yao inakukera. Au akikutekenya nawe hutaki mtemee mate usoni.

      Jibu la swali lako:
      Wanaume tunatekenya katikati ya viganja kama ishara ya kukutongoza. Ukikaa kimya tunaamini tumekubaliwa tongozo letu. Na ili mwanaume akutekenye anakuwa kishajiridhisha kuwa atakubaliwa tongozo lake. Na mwanamke anapokaa kimya.

      CHUKUA TAHADHARI.... Ngono Elimu.
      babu kumbe mna maana huyo.......................... mimi nilidhani ndo salimia ya wakaka, maana weeeeeeeeeeeeeeengiiiiiiiiiiii huwa wanafanya hivyo. kwa hiyo ni kupotezea tu
      Asprin and FirstLady1 like this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    4. #42
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,962
      Rep Power : 3700
      Likes Received
      3576
      Likes Given
      5759

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Kimey
      hahahaha Mamito kama mchungaji kaweza why not you...lol
      Mmmh Kimey
      Kimey likes this.
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    5. #43
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,439
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14542
      Likes Given
      22033

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Fixed Point
      babu kumbe mna maana huyo.......................... mimi nilidhani ndo salimia ya wakaka, maana weeeeeeeeeeeeeeengiiiiiiiiiiii huwa wanafanya hivyo. kwa hiyo ni kupotezea tu
      Unaonaje ukaja kushikana mkono na mimi.........
      FP likes this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    6. #44
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,962
      Rep Power : 3700
      Likes Received
      3576
      Likes Given
      5759

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Fixed Point
      babu kumbe mna maana huyo.......................... mimi nilidhani ndo salimia ya wakaka, maana weeeeeeeeeeeeeeengiiiiiiiiiiii huwa wanafanya hivyo. kwa hiyo ni kupotezea tu
      Fixed Point afadhari umenisaidia yaani maswali aliyoniuliza Asprin nimebakia mdomo wazi
      Ningemkamataaaaaaa angejuuta kunifahamu kama mjukuu
      Asprin and FP like this.
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    7. #45
      WiseLady's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd January 2010
      Location : church
      Posts : 3,221
      Rep Power : 1118
      Likes Received
      418
      Likes Given
      744

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Preta
      nitakucheki kwenye USB mida mida...si vizuri ujue....

      mhandisi kuna kitu nimeona saa hii sijui ni chako? kama vp charaza barua
      The beauty of GOD is beyond description

    8. Miaka 50

    9. FP
      #46
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,228
      Rep Power : 46344
      Likes Received
      6922
      Likes Given
      6842

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Asprin
      Unaonaje ukaja kushikana mkono na mimi.........
      tutashikana na ntakupotezea
      Asprin likes this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    10. FP
      #47
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,228
      Rep Power : 46344
      Likes Received
      6922
      Likes Given
      6842

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By FirstLady1
      Fixed Point afadhari umenisaidia yaani maswali aliyoniuliza Asprin nimebakia mdomo wazi
      Ningemkamataaaaaaa angejuuta kunifahamu kama mjukuu
      yaani imebidi tu nikusaidie rafiki. babu anataka kuleta za kuleta badala ya kujibu swali. kujisikia kwako kwani kunahu?
      FirstLady1 likes this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    11. #48
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,439
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14542
      Likes Given
      22033

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Fixed Point
      tutashikana na ntakupotezea
      Orayt......ngoja nitangulie gesht haush nione kama room bado zipo.....
      FirstLady1 and FP like this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    12. #49
      WiseLady's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd January 2010
      Location : church
      Posts : 3,221
      Rep Power : 1118
      Likes Received
      418
      Likes Given
      744

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Kimey
      Aisee!! ngoja nisepe

      Unasepa kwenda wapi?Asprin hivi hukagui na vidole tujue watu wanaotekenya?
      Asprin, Asprin and Kimey like this.
      The beauty of GOD is beyond description

    13. FP
      #50
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,228
      Rep Power : 46344
      Likes Received
      6922
      Likes Given
      6842

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Asprin
      Orayt......ngoja nitangulie gesht haush nione kama room bado zipo.....
      ha haaaaaaaaaaaaaa, I will be waiting
      Asprin likes this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    14. #51
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,962
      Rep Power : 3700
      Likes Received
      3576
      Likes Given
      5759

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Fixed Point
      yaani imebidi tu nikusaidie rafiki. babu anataka kuleta za kuleta badala ya kujibu swali. kujisikia kwako kwani kunahu?
      Eti anasema mie nachekelea wakinitekenya haha sasa ningekuja kutoa malalamiko yangu hapa wakati mheshimiwa rais huwa anapitia hapa mida ya usiku kuangalia Jamii inasemaje kuhusu yeye...?
      FP likes this.
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    15. #52
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,962
      Rep Power : 3700
      Likes Received
      3576
      Likes Given
      5759

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Asprin
      Orayt......ngoja nitangulie gesht haush nione kama room bado zipo.....
      Hazard identification!
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    16. #53
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,439
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14542
      Likes Given
      22033

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By WiseLady
      Unasepa kwenda wapi?Asprin hivi hukagui na vidole tujue watu wanaotekenya?
      Ssssshhhhhhhhhhhhiiiiiiiiiiiii iiiiiii!!!! Utaniharibia mawindo yangu. Habu kaidiliti hii post kabla hawajaisoma
      WiseLady likes this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    17. FP
      #54
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,228
      Rep Power : 46344
      Likes Received
      6922
      Likes Given
      6842

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By FirstLady1
      Eti anasema mie nachekelea wakinitekenya haha sasa ningekuja kutoa malalamiko yangu hapa wakati mheshimiwa rais huwa anapitia hapa mida ya usiku kuangalia Jamii inasemaje kuhusu yeye...?
      kuna kuchekelea jinsi inavyokera?
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    18. #55
      Kimey's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th March 2009
      Location : Counter ya Juu!
      Posts : 4,093
      Rep Power : 1335
      Likes Received
      763
      Likes Given
      673

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Asprin
      Ssssshhhhhhhhhhhhiiiiiiiiiiiii iiiiiii!!!! Utaniharibia mawindo yangu. Habu kaidiliti hii post kabla hawajaisoma
      Hommie una platinum membership nini mbona una like mara mbili mbili

      You, Asprin and Asprin like this.
      FirstLady1 likes this.
      I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!!

    19. #56
      Mentor's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 14th October 2008
      Location : On my way to Heaven!
      Posts : 5,818
      Rep Power : 5238
      Likes Received
      3313
      Likes Given
      9054

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Kaizer
      Asee Asprin, hizo tarehe zote ni weekend...so ni siku za wanaopiga Biya....unaamka biya unalala biya.....sasa Subiri Mentor aje na theory zake hapa....sema biya unazinywea wapi na nani? chezo lipo hapo
      Hahaha shemeji Kaizer kwa kujustify mambo yenu!?? sijui dada AshaDii nawezaje kukip up na wewe!
      "Be an example.." 1 Timothy 4:12
      Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
      Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
      NACHO CHA RUWA
      !
      Reply With Quote

    20. #57
      Mentor's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 14th October 2008
      Location : On my way to Heaven!
      Posts : 5,818
      Rep Power : 5238
      Likes Received
      3313
      Likes Given
      9054

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Asprin
      Orayt......ngoja nitangulie gesht haush nione kama room bado zipo.....
      I was waiting for this...wewe ni wale exceptions..walevi afu chini kwa sana...ndo mana post yangu imewauma...mbona Erickb52 katulia tu...
      "Be an example.." 1 Timothy 4:12
      Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
      Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
      NACHO CHA RUWA
      !

    21. #58
      Wkaijage's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th February 2012
      Posts : 191
      Rep Power : 405
      Likes Received
      11
      Likes Given
      7

      Default

      Quote By Asprin
      Hivi tarehe 18 na tarehe 16 zina uhusiano gani Kaizer? Ni siku za biya au siku ya wasokunywa biya?
      wasokunywa

    22. #59
      Preta's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 28th November 2009
      Location : yaeda chini
      Posts : 14,743
      Rep Power : 15104
      Likes Received
      7199
      Likes Given
      6866

      Default

      Quote By WiseLady
      mhandisi kuna kitu nimeona saa hii sijui ni chako? kama vp charaza barua
      mimi sijui kwa nini mhandisi hukai karibu na redio....mpaka baadae sasa nikimaliza shughuli ya kuweka lami huku kwa mrombooo....
      WiseLady likes this.

    23. #60
      WiseLady's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd January 2010
      Location : church
      Posts : 3,221
      Rep Power : 1118
      Likes Received
      418
      Likes Given
      744

      Default Re: Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

      Quote By Preta
      mimi sijui kwa nini mhandisi hukai karibu na redio....mpaka baadae sasa nikimaliza shughuli ya kuweka lami huku kwa mrombooo....

      nisamehe mhandisi radio niliacha ngaleloo nikaenda pande za orkesment kama uko kwa mromboo naweza kukupitia hapo nikichelewa ita tena tafadhali.....
      Preta likes this.
      The beauty of GOD is beyond description

    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...