soma magonjwa yote kwa makini na uzigatie...kisha piga simu
soma magonjwa yote kwa makini na uzigatie...kisha piga simu
....ukubwa AKILI...NDEVU uchafu...
Me nimeipenda hyo ya mstari wa Mwisho,
Special kwa kipenzi changu Ruhazwe,maana pombe hanywi,sigara havuti,soda hanywi. Sasa ulevi wake nini?
Lazima alinywe.
Ila hlo Tangazo kama naliona ona huku mitaa ya Kino/Nyamala hv.
Globu anataka hilo la Free Mason. Haa haa haaaa.
hivi huo ni ugonjwa Globu...tehee!
Hakuna kutoa nuksi?
hivi kujiunga na free mason kumbe pia lazima upitie kwa mganga!!
Yeremia 33:3
naona freemanson wamepata promo ya nguvu, kila kona siku hizi ni jina hilo tu. Mi nimeshalichoka
Don't wait for the Perfect Moment,
Take the Moment and make it Perfect
Madame B imeingia?...PM
Follow Us Here