mtu atakaeweza kunisaidia kujiunga na freemason coz nimesikia wawaliopo huko wamefanikiwa msaada plz
mtu atakaeweza kunisaidia kujiunga na freemason coz nimesikia wawaliopo huko wamefanikiwa msaada plz
kwanza ulikua hujajiunga mpaka leo? sasa fanya hivi toka hapo unapoishi ucgeuke nyuma then kunja kulia nyosha moja. kwa moja zen utakutana na mtu kavaa nguo nyekundu usimsalimie then endelea kwenda mbele utafika sehemu utaona watu wawili wamevaa suti wapo na gari aina ya hummer ingia kwenye gari usiongee nao zen watakuleta mpaka makao mkuu hapa...... onyo ukiona mambo ya ajabu usishtuke
Rahisi. Waulize hao ambao wamefanikiwa kutokana na kuwa Freemasons wakuunganishe. Bongo kutaka mteremko!!! Kazi kweli kweli.
Loosing is a starting point to success
Ucpende vya bure hapa mjini utajikuta bapaya ukifanyiwa mabaya. Jitume, fanya kazi kwa bidii na kumwomba Mungu. Hujiulizi wewe kwa nini mtu akupe pesa za bureeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!! ! Kuna mtu aliyejitosheleza kwa fedha???????????? UTAKULA KWA JASHO. Jasho lako sio Freemason.
Nami utanikutako Bonyeza HAPA
Hiyo form ya kujiunga ipo
wewe google 'form ya kujiunga na freemason'
then kazi ni kwako tu mkuu,
kwani ukiwa tajiri unaweza kunisahau kweli?
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Msalimie kanumba!!!!!!!!
“You can get a thousand "no's" from people, and only one "yes" from God.”
Hivi wewe ni mzima kweli? Mimi nina wasi wasi wewe una matatizo.
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
kumbe watu wanaamini ka hawa watu wamo kweli
tafuta hela kwa nguviu zako na usione waliofanikiwa ukazani ni kwasababu ya iko unachokiita freemasons jamani kha!
wake up people
Young_Master bora ulivomuuliza mana
Kwa kweli CUTE hata mimi namshangaa maana naona hii akili yake sio ya kawaida kabisa hata ni kutaka umaarufu na utajiri wa haraka haraka lakini sio kwa style hii.
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
mitanzania mijinga kweli
Young_Master yani sijui ni me au ke mana kama ni me namuonea huruma girlfriend wake mana kwa mtindo huu hawatanunua hata baiskel
mchakavumlasana naona ni huyu tu wengine wote wanayo sema kuna wale nao hawana wanaodai muungano uvunjike wakati wao ndio waliojaa huku bara na nyadhifa mbalimbali wameshikilia (hahhaa kidding)
Kwa taarifa yako wana jumuiya ya Freemanson ndo wanakuchagua kuingia kwenye society yao,kwakuzingatia una influence gani ktk nchi yako,umaarufu wako ..wana viwango vyao...huingii kwa kujaza form huko kaka!
Follow Us Here