Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ngwaaaaaa! Ngwaaaaaa: "Haki Elimuuuuuu!"

    Report Post
    Results 1 to 7 of 7
    1. #1
      Mlitika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2012
      Posts : 411
      Rep Power : 519
      Likes Received
      223
      Likes Given
      319

      Default Ngwaaaaaa! Ngwaaaaaa: "Haki Elimuuuuuu!"

      Nilikuwa napita tu nakatiza mtaa mmoja hivi, mara paaa! nikamwona huyu mtoto live. Gazabu ilinishika ingawa simfahamu nikakata fimbo nimcharaze maana nilihisi hako katabia kanahitaji tukio chungu la kumkumbusha asithubutu kufikilia kufanya hivyo tena. Nakata fimbo nikakumbuka kumbe viboka vilishakatazwa shuleni na majumbani. Nikabaki nimeduwaa tu. Swali ninalojiuliza mpaka sasa ni hili: "Mtoto wa namna hii kweli utatumia njia gani kuiumba hiyo akili yake ikue na kukomaa katika uzani wa kimaadili?" Ebu nisaidieni kabla sijachukua maamuzi ya ajabu.

    2. Miaka 50

    3. FP
      #2
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,266
      Rep Power : 46353
      Likes Received
      6983
      Likes Given
      6881

      Default Re: Ngwaaaaaa! Ngwaaaaaa: "Haki Elimuuuuuu!"

      kwa majadiliano. kaeni kwenye round table mjadiliane kuhusu hiyo tabia
      Mlitika likes this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect


    4. #3
      Preta's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 28th November 2009
      Location : yaeda chini
      Posts : 14,769
      Rep Power : 15109
      Likes Received
      7234
      Likes Given
      6908

      Default

      Quote By Fixed Point
      kwa majadiliano. kaeni kwenye round table mjadiliane kuhusu hiyo tabia
      hapana.....majadiliano kuhusu tabia kama hii yanahitaji oval table....
      Mlitika likes this.

    5. #4
      Barnabas Shadrack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Posts : 2,056
      Rep Power : 810
      Likes Received
      182
      Likes Given
      11

      Default

      [QUOTE=Mlitika;4045501]Nilikuwa napita tu nakatiza mtaa mmoja hivi, mara paaa! nikamwona huyu mtoto live. Gazabu ilinishika ingawa simfahamu nikakata fimbo nimcharaze maana nilihisi hako katabia kanahitaji tukio chungu la kumkumbusha asithubutu kufikilia kufanya hivyo tena. Nakata fimbo nikakumbuka kumbe viboka vilishakatazwa shuleni na majumbani. Nikabaki nimeduwaa tu. Swali ninalojiuliza mpaka sasa ni hili: "Mtoto wa namna hii kweli utatumia njia gani kuiumba hiyo akili yake ikue na kukomaa katika uzani
      .
      Hapo kwenye red, ni neno toka lugha gani mkuu?.
      The unseen is illustrated by the seen.

    6. #5
      Mlitika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2012
      Posts : 411
      Rep Power : 519
      Likes Received
      223
      Likes Given
      319

      Default Re: Ngwaaaaaa! Ngwaaaaaa: "Haki Elimuuuuuu!"

      Quote By Fixed Point
      kwa majadiliano. kaeni kwenye round table mjadiliane kuhusu hiyo tabia
      Tujadili na huyo mtoto, FP? You are not serious!

    7. RukaaJuu Final

    8. #6
      Mlitika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2012
      Posts : 411
      Rep Power : 519
      Likes Received
      223
      Likes Given
      319

      Default Re: Ngwaaaaaa! Ngwaaaaaa: "Haki Elimuuuuuu!"

      Quote By Preta
      hapana.....majadiliano kuhusu tabia kama hii yanahitaji oval table....
      Preta ​hiyo oval table ndo ya kulelea watoto kama huyo?

    9. #7
      Nyetk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2012
      Posts : 1,028
      Rep Power : 682
      Likes Received
      574
      Likes Given
      593

      Default Re: Ngwaaaaaa! Ngwaaaaaa: "Haki Elimuuuuuu!"

      Usituumizie watot! Watoto sasa hivi wana haki ya kuwa na tabia yoyote wanayojisikia. Hiyo ndiyo haki elimu!

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...