Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 31
    1. #1
      queenkami's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2010
      Posts : 942
      Rep Power : 5202
      Likes Received
      352
      Likes Given
      669

      Default Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      Kwa kina baba -
      mionzi kutoka kwenye laptop husababisha askari ajiuzulu wakati bado anahitajika kwenye battle field.
      Pia hata kama ataendelea kupambana kwa kujilazimisha bullets zake zitakua dhaifu kiasi kwamba hata zikimlenga mama...mama huyo hataweza kuugua kwa miezi tisa.

      Kwa kina mama wajawazito -
      mionzi kutoka kwenye laptop ina madhara kwa malaika aliyeko tumboni.

      ---Ewe baba..ewe mama mjamzito uonapo tangazo hilí mtahadharishe na mwenzako---

      Mbarikiwe
      YESU NAKUPENDA NITUMIE UPENDAVYO

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      kijembeee's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2012
      Location : On Ze wAy
      Posts : 394
      Rep Power : 429
      Likes Received
      95
      Likes Given
      20

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      thanx kwa information dia,that is so kind of you

    4. #3
      figganigga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2010
      Location : dar es salaam
      Posts : 8,182
      Rep Power : 12009
      Likes Received
      2652
      Likes Given
      1583

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      inawzekana. kwa sababu mi mwenyewe naona kasi imeanza kupungua. mia
      queenkami likes this.

    5. #4
      kaeso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2011
      Posts : 551
      Rep Power : 524
      Likes Received
      91
      Likes Given
      158

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      OMG..!!!
      Ngoja niache huu mchezo.
      queenkami likes this.

    6. #5
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,172
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      alafu haka ka-tabia ninakapenda sana sijui kwa nini!
      queenkami likes this.

    7. Miaka 50

    8. #6
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,979
      Rep Power : 8269
      Likes Received
      2680
      Likes Given
      3661

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      Wewe naye kwa kutoa siri...Kuna mwana JF hapa jirani yangu ana demu mzuri kweli halafu ana tabia hiyo ya kuweka laptop mapajani.....nilikuwa nasubiri achoke nibebe mzigo.
      queenkami likes this.
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    9. #7
      Mmwaminifu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Posts : 885
      Rep Power : 720
      Likes Received
      134
      Likes Given
      19

      Default

      Quote By Ruhazwe JR
      alafu haka ka-tabia ninakapenda sana sijui kwa nini!
      Acha kabisa mkuu! Pole kwa ya jana!
      queenkami likes this.

    10. #8
      Mmwaminifu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Posts : 885
      Rep Power : 720
      Likes Received
      134
      Likes Given
      19

      Default

      Quote By platozoom
      Wewe naye kwa kutoa siri...Kuna mwana JF hapa jirani yangu ana demu mzuri kweli halafu ana tabia hiyo ya kuweka laptop mapajani.....nilikuwa nasubiri achoke nibebe mzigo.
      Du! Kweli wema wachache
      queenkami likes this.

    11. #9
      Comi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2011
      Posts : 962
      Rep Power : 578
      Likes Received
      156
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By figganigga
      inawzekana. kwa sababu mi mwenyewe naona kasi imeanza kupungua. mia
      jejejejejejeje
      queenkami likes this.

    12. #10
      queenkami's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2010
      Posts : 942
      Rep Power : 5202
      Likes Received
      352
      Likes Given
      669

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      Quote By kijembeee
      thanx kwa information dia,that is so kind of you
      You are welcome mkuu kijembee.

      Quote By figganigga
      inawzekana. kwa sababu mi mwenyewe naona kasi imeanza kupungua. mia
      mama wee acha mara moja figganigga

      Quote By kaeso
      OMG..!!!
      Ngoja niache huu mchezo.
      fanya maamuzi sahihi before its too late dear kaeso

      Quote By Ruhazwe JR
      alafu haka ka-tabia ninakapenda sana sijui kwa nini!
      Sio wewe tu wengi tunapenda kufanya hivyo ila ndo hivyo tena kuna madhara Mr. @Ruhazwe
      Quote By platozoom
      Wewe naye kwa kutoa siri...Kuna mwana JF hapa jirani yangu ana demu mzuri kweli halafu ana tabia hiyo ya kuweka laptop mapajani.....nilikuwa nasubiri achoke nibebe mzigo.
      Usitamani mke wa jirani yako
      unaweza kumpata na bonus ya HIV juu.
      tafuta wako..warembo wapo wa kila aina
      usisubiri wenzio walete wewe ndio uvizie.
      figganigga likes this.
      YESU NAKUPENDA NITUMIE UPENDAVYO

    13. #11
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,979
      Rep Power : 8269
      Likes Received
      2680
      Likes Given
      3661

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      Usitamani mke wa jirani yako
      unaweza kumpata na bonus ya HIV juu.
      tafuta wako..warembo wapo wa kila aina
      usisubiri wenzio walete wewe ndio uvizie.
      Basi mamaa
      queenkami likes this.
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    14. #12
      queenkami's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2010
      Posts : 942
      Rep Power : 5202
      Likes Received
      352
      Likes Given
      669

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      Quote By platozoom
      Basi mamaa
      Yamekwisha babaa platozoom.
      YESU NAKUPENDA NITUMIE UPENDAVYO

    15. #13
      Konya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th June 2011
      Posts : 815
      Rep Power : 566
      Likes Received
      79
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By platozoom
      Wewe naye kwa kutoa siri...Kuna mwana JF hapa jirani yangu ana demu mzuri kweli halafu ana tabia hiyo ya kuweka laptop mapajani.....nilikuwa nasubiri achoke nibebe mzigo.
      ama kweli kufa kufaana duh!
      queenkami likes this.

    16. #14
      father-xmas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2010
      Posts : 336
      Rep Power : 533
      Likes Received
      58
      Likes Given
      84

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      Asante kwa tahadhari queenkami..................... ..!nimependa lugha ya mafumbo uliyotumia hapo kwa kina baba................!
      Unaonekana una hekima sana..................!nataman i kukuoa queenkami.............nikufany e malkia wangu.....hutojuta ukinipa nafsi hiyo...........mimi sio muharifu kama vijana wengi walivyo..............trust me mrembo................!
      queenkami likes this.
      The greatest conquerer is he who overcomes the enemy without a blow.

    17. FP
      #15
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,255
      Rep Power : 46351
      Likes Received
      6967
      Likes Given
      6865

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      Asante kwa somo, tutawajulisha
      queenkami likes this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    18. #16
      Mr.Mikael's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th January 2012
      Posts : 43
      Rep Power : 379
      Likes Received
      17
      Likes Given
      74

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      [QUOTE=platozoom;4046754]Basi mamaa[/QUOTE
      ???????????????

      Quote By queenkami
      Yamekwisha babaa platozoom.
      mmmhhh

      Quote By father-xmas
      Asante kwa tahadhari queenkami..................... ..!nimependa lugha ya mafumbo uliyotumia hapo kwa kina baba................!
      Unaonekana una hekima sana..................!natamani kukuoa queenkami.............nikufany e malkia wangu.....hutojuta ukinipa nafsi hiyo...........mimi sio muharifu kama vijana wengi walivyo..............trust me mrembo................!
      taratibu father,unajuaje yuko single au hajaolewa?
      For your information Nkami is not single.
      queenkami likes this.

    19. #17
      figganigga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2010
      Location : dar es salaam
      Posts : 8,182
      Rep Power : 12009
      Likes Received
      2652
      Likes Given
      1583

      Default

      Quote By Fixed Point
      Asante kwa somo, tutawajulisha
      wewe hauna ujauzito? hata wewe inakuhuu..mia
      queenkami likes this.

    20. FP
      #18
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,255
      Rep Power : 46351
      Likes Received
      6967
      Likes Given
      6865

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      Quote By figganigga
      wewe hauna ujauzito? hata wewe inakuhuu..mia
      ha haaaaaaaa, enzi zangu zimepita...............
      queenkami likes this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    21. #19
      Kingmairo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th April 2012
      Posts : 778
      Rep Power : 514
      Likes Received
      234
      Likes Given
      80

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      Hii mimi siiamini queenkami kwanza tuambie huu ni utafiti au ni mawazo binafsi. Kama ni utafiti tueleze umefanywa wapi na nani na utupe njia waliyotumia kubainisha ni mionzi ya laptop na sio sababu nyingine kama kemikali ya vyakula tunavyokula. Bila kushawishiwa sintaamini na ntaendelea na haka katabia kwani kanarahisisha utendaji wa kazi mahali popote
      queenkami likes this.

    22. #20
      queenkami's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2010
      Posts : 942
      Rep Power : 5202
      Likes Received
      352
      Likes Given
      669

      Default Re: Onyo:Uwekaji wa laptop mapajani una athari kwa kina baba na kina mama wajawazito.

      Quote By Kingmairo
      Hii mimi siiamini queenkami kwanza tuambie huu ni utafiti au ni mawazo binafsi. Kama ni utafiti tueleze umefanywa wapi na nani na utupe njia waliyotumia kubainisha ni mionzi ya laptop na sio sababu nyingine kama kemikali ya vyakula tunavyokula. Bila kushawishiwa sintaamini na ntaendelea na haka katabia kwani kanarahisisha utendaji wa kazi mahali popote
      men who use laptops excessively they started to loose their fertility. The
      general habit of the men is to keep or place the laptop on their lap. An
      d due to this some amount of heat that is generating from the laptops are effecting in the lower portion ofmen.

      The heat of the laptop is taking on by the scrotum. And the
      y start to loose their fertility. And this side effect is very much common among men. It has
      been seen that this is the major cause for the lack of the infertility among men and it is increasing in an alarming rate.The laptops can increase the temperature of the scrotum for near about 2.7 C and this let to the decrease of the sperm count in the body and the result is infertility. There are may be other problems with their reproductive system and they will not able to realize the problem very soon. It will take long time and when he is in the mood to expand his generation he will become hard to the noble act.

      Therefore the young men and boys must be aware about this fact. Do
      not place the laptop on your lap anymore but you must place the laptop on some desk or table when you are doing the work.

      wewe endelea kuwa Tomaso hadi utakapoona alama za misumari itakua too late.
      Last edited by queenkami; 13th June 2012 at 16:47.
      Kingmairo likes this.
      YESU NAKUPENDA NITUMIE UPENDAVYO

    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...