Dear Tanzanian girls, hope you saw what
Kim K. bought
for Kanye W. on his birthday?
Not a Singlet or Boxers.
She bought A LAMBOGHINI CAR worth $
750k. We are tired of taking boxers and
singlet as gifts.
Sometimes, we even receive socks.
We will hence commence a 3-day
warning strike
taking effect from tomorrow. ENOUGH IS ENOUGH!!
Sign.
Bora si tulio kwenye ndoa tayari hayo mambo tushaachana nayo. Yaani kila siku sherehe! Tena nimekumbuka, ngoja nipitie Kongwa beef nibebe mboga mama watoto atengenezewe supu akisherehekea our new born!
Mtoto una hatari wewe!
Hivi kwa mujibu wa law act of 1978 cap No 309/65FR/01 unaweza kushtakiwa kwa kosa la uchochezi. Unachochea pu*yeto sio? Na sabuni zikipotea madukani nyie mtafulia nini?
kwenye swala la ku clear bill ndo mnaona nafasi ya mwanaume but kuosha vyombo, kufuna na kazi zingine haki sawa kwa wote.. kweli hiki kizazi cha masista du, ata iweje mgomo hauepukiki ndo dawa yenu hiyo
Preta, bora basi umhudumie usubirie excellent results, lol, unalihudumia kumbe ni www.bamialisis.co.tz, wallah akichanganya na miwhisky kushnei! chali! yaani, halafu eti wanataka magari! labda magari ya mfinyanzi, nitakwenda makongo juu nimtengenezee mmoja wenu moja! lol!, liwe tayaritayari maana birthday zipo kila siku! lol
Unadhani wote wanaweza kununua dildo? Wengine ndo wanatumia hizo. We hujagundua kuwa matango yenye upele hayapo sokoni siku hizi? Do a small research mkuu.
Preta yaani niliolewa at the age of 20, mdogo wangu 17, my elder sis 21, so hatukupata muda wa kudanganywa kwa kweli, yaani mtu wangu wa kwanza, wa pili akaja kuwa mume mpaka kesho! sasa mziki upo kwa cousins, watoto wa wamama wakubwa na wadogo, mpaka huwa nawahurumia wanavyodanganywa! mmoja anakaa a-town. kaja huku kumeet na huyo mtu wake, ndio hivyo nauli kajilipia, tax kalipa, vinywaji! eeehhh kulivyokucha ananihadithia hiyo story nikamwambia twende kinondoni duka la dildo, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii i dildo hazilipi bill wala hazifilisi, hazina wivu, zipo kimyaaaaaaaaaaa zinaomba tu TANESCO wasikate umeme, zipo kazini 24/7. kazi ipo wallah!
sasa huyo aliyejileta kwa kujilipia nauli.....anasubiri nini kutupa kule hilo ligarasha......wenzake wanalamba madume yeye anaishia kulamba magarasha.....mwambie achange karata aanze mchezo upya.....alaaaaaa.......

ameshalitupa kuleeeeeeeeeeeeeee long tym Preta, ana kazi ya kubeep tu, toka asubuhi! yaani, yaani, uwiiiiii tuwaombee sana watoto wetu kwa MUUMBA JUU wasijepata mapunga, au dizaini hizi za wanaume! waandamanaji nao tupa kuleeeeeeeeeee! unaandamana we hata vitz ulileta lini??
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
ewaaaaa.....mianaume ya hivi huwa naishangaa sana.....sioni tatizo mimi kuclear bill na nini.....lakini basi mtu aonyeshe uanaume wake.....hivi huwa watu hawaoni aibu....
eti nyie wanaume.....kulipiwa kila siku bill na msichana wako huoni noma.....nawauliza......!!!!!! !
Preta hivi ni wewe au macho yangu yanaona makengeza
Hebu nikatafute miwani yangu maana hii niliyo nayo naona inaona nyota nyota sielewi
Yaani unakuja kuniumbua hivi hivi aise
Kumbe siku ile unalipa bill ulikuwa unanichora eehhh
ameshalitupa kuleeeeeeeeeeeeeee long tym Preta, ana kazi ya kubeep tu, toka asubuhi! yaani, yaani, uwiiiiii tuwaombee sana watoto wetu kwa MUUMBA JUU wasijepata mapunga, au dizaini hizi za wanaume! waandamanaji nao tupa kuleeeeeeeeeee! unaandamana we hata vitz ulileta lini??
haloo halooo.....lakini mbona hii thread tunachangia wachache hivi cacico.....wako wapi wanaume wagomaji yaarabi....
Preta hivi ni wewe au macho yangu yanaona makengeza
Hebu nikatafute miwani yangu maana hii niliyo nayo naona inaona nyota nyota sielewi
Yaani unakuja kuniumbua hivi hivi aise
Kumbe siku ile unalipa bill ulikuwa unanichora eehhh
nilikuchorajeeee......yani unipeleke kibo palace, halafu ndio date ya kwanza.....bill mwenyewe uliiona.....hivi ni kwa nini ulifanya vile....?
haloo halooo.....lakini mbona hii thread tunachangia wachache hivi cacico.....wako wapi wanaume wagomaji yaarabi....
Preta mmoja hapa ofisini kwetu kazima na laptop kabisa asione chochote, wanaona haya kuchangia aibu zimewajaa! au ndio wanaandaa maandamano??? hebu tungoje!
Preta mmoja hapa ofisini kwetu kazima na laptop kabisa asione chochote, wanaona haya kuchangia aibu zimewajaa! au ndio wanaandaa maandamano??? hebu tungoje!
wamezoea kutusema.....sasa na sisi tunatoa tuliyoyahifadhi.....wamezidi.. ..
nilikuchorajeeee......yani unipeleke kibo palace, halafu ndio date ya kwanza.....bill mwenyewe uliiona.....hivi ni kwa nini ulifanya vile....?
We utanipelekaje sehem ngumu kiasi hicho aise
Mi nishazoea nina elfu ishirini yangu nyama choma pale cet garden au pale makaburini na chupa mbili tatu za bia inatosha sasa wewe unanipeleka sehem chupa ya wine tuu Laki
Preta angalia mfuko bana siku nyingine uulize kabisa aise mfukoni zipo

he he....we ulivyoona tunaelekea huko kwanini hukubadili muelekeo......
basi muwe mnasema cash flow ikoje....sio kujifanya mnakufa na tai shingoni.....huwa mkiwa wakweli tuna huruma sana....tunaweza kuwapa hela zetu muweke mfukoni ili uonekane kidume wakati wa kulipa....
Follow Us Here