usisahau kumpelekea na big G na lambalamba za bakhresa,kazi unayo,heri yangu ninayejipendea minungayembe kina kongosho wala haisumbui.
Hahahahaaaa Katavi kazi unayo
Dawa ya hao ni kuwaacha wasome sisi wetu sio hao lol
Hao waache wakumbane wao kwa wao
Lol Tafuta Shugamumy hutapata hizo stress kamwe
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Hahahahaaaaa kweli aisee huna hata wasiwasi lol
Hongera sana Bishanga
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Kama anakuumiza kichwa, basi nawe muumize miguu.
The unseen is illustrated by the seen.
Hivi Bishanga, unatafuta pa kufia?
Mbona roho yako inatap[atapa sana.
No matter how hot your anger is, it can not cook yams-Nigeria
Erickb52, kumbe Mashugamamy hayana mambo ya kuumiza kichwa??
Nipe uzoefu basi...
Kwikwikwikwikwikwikwikwikwikwi iiiiiiiii
Lol nimecheka kinafiki hadi najishtukia lol
Kama ni mimi nimeambiwa hivyo lazma walau ningebadili hata ID maana ni kashfa nzito sana kwa Bishanga mh
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Ha ha haaaah!! Kongosho mmmh....!! Nasikia jinsia yake haijulikani, huyu hapana.......
chezea madenti
Don't wait for the Perfect Moment,
Take the Moment and make it Perfect
Bado hela ya ku-party (wanaita parry) wikendi
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
hahahaha kweli mapenzi mshikemshike...duh
"Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."
Jina unalomwita "umiza kichwa" ni low rank!
Huyo keshaivuka ngazi hiyo, huyo rank yake ni "Pasua kichwa" au kifupi "Pasua"
Ha ha haaah!! Hii kiboko pole sana Katavi...
hapo unamjibu kwa upole tu na kwa tabasamu kubwa.
unamwambia;
Baby i love you too. Naomba leo ujilipie mwenyewe, mimi ntakulipia siku nyingine sababu hapa nilipo nimepatwa na matatizo makubwa. ntakueleza tukionana coz sio ya kuongelea kwenye simu. Nasikitika kutowaona marafiki zako wapendwa. wasalimie sana.
Samahani kwa usumbufu utakao jitokeza.
Love you so much..!!Mmwaaa...!!!!.
Harafu unazima simu. Mia
Follow Us Here