Angalieni wenyewe........
Attachment 56150
Angalieni wenyewe........
Attachment 56150
Ndo malovee na malavidavi hayo
Kwa hali hiyo lazima uwe maige tu kila dili mbele yako unatumbua tu fanya mchezo kumtunza baby nini
Erickb52 Katavi anasumbuka na vident, sasa mi nataka apungwe badala ya kupunga.
* Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere
TaiJike kuwa makini na moyo wangu,haya mambo ya konabar siyo kabisa
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
mabinti sampo kama hizi ndo uwa nawanywea viroba na valuuu... inapotokea game. anatapika hela zoote. kulaleiki..
weeee.. ulizia Mamndenyi
Follow Us Here