Ntaanza kama ifuatavyo:
>jina langu ni: Blessy Godwin.
>Natokea kinondoni UDSM.
>avatar yangu ni Bampami.
>jinsia yangu ni male
>miaka yangu ni 23
anayefuata.....
Ntaanza kama ifuatavyo:
>jina langu ni: Blessy Godwin.
>Natokea kinondoni UDSM.
>avatar yangu ni Bampami.
>jinsia yangu ni male
>miaka yangu ni 23
anayefuata.....
mh! ntarudi
nadhani hapa hapaniusu,kaz kwenu mnaojificha
Ngoja nikajikunyate kwenye kiota changu ehh..gd9t
Jina langu ni halisi, pia hiyo avator ndiye mimi. Sina haja ya kujificha. Maana siogopi binadamu mwenzangu ambaye akiingia kukata gogo anachuchumaa kama mimi nifanyavyo, labda kama angekuwa anakata gogo akiwa amesimama.
The unseen is illustrated by the seen.
Nitarudi keshokutwa......
Anayetaka nifahamu aje Chemba
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mh hii ngumu kumeza!
Duh!! Baadae.
Goodmorning!
by ommy dimpoz Globu...lol
Kipipi nikurambeeee?...
Follow Us Here