Wana Chitchat Namtafuta mke wa kaka.... ametoroka nisaidieni kumtafuta
Sura pana hivi.........anapenda kupaka lipstic ............umbo namba nane. Jina lake ni madame B.
Ni mke wa kaka alimtoroka mwezi uliopita kisa ni ukata alioupata kaka baada ya kufukuzwa kazi ya ulinzi...Ki-ukweli alicheza lile dili lakini likabuma.
Kaka anampenda sana na nitaweka jina lake hivi karibuni...........Shemeji Madame B kwa nini utoroke?
Kwa sasa nasikia anaishi kinyumba na mhaya mmoja nimepata jina lake moja, anaitwa Ruhazwe JR....PLIZ charminglady, Kipipi, sweetlady, Erickb52 nisaidieni kumtafuta kokote mlipo......kaka anaweza kupoteza maisha kwa presha..sitanii
Re: Wana Chitchat Namtafuta mke wa kaka.... ametoroka nisaidieni kumtafuta
platozoom si bure, huenda kaka yako amelishwa limbwata
Mke amechumbiwa na mume mwingine na mahari ishatolewa, leo unatubania pua hapa "eti namtafuta mke wa kaka"
Give us a Clutch!
Re: Wana Chitchat Namtafuta mke wa kaka.... ametoroka nisaidieni kumtafuta
Shemeji niko huku kusikokuwa na jina.
Shemeji,
Kaka yako aliniambia kuwa yeye ni Meneja wa CRDB Bank tawi la Millenium Tower.
Siku si nikaenda kwa kushtukiza,
lahaula lakwata.....!!!
Sikuamini macho yangu,
kwani nilimkuta yuko kifua wazi,jasho linamtoka,kachafuka vumbi mwili mzima yuko Parking anafagia na kufuta vumbi magari.
Shemeji,
Kaka yako simuhitaji.
Niko huku nakula bata kwa kwenda mbele.
platozoom si bure, huenda kaka yako amelishwa limbwata
mke amechumbiwa na mume mwingine na mahari ishatolewa, leo unatubania pua hapa "eti namtafuta mke wa kaka"
give us a clutch!
Re: Wana Chitchat Namtafuta mke wa kaka.... ametoroka nisaidieni kumtafuta
By Zinduna
platozoom si bure, huenda kaka yako amelishwa limbwata
Mke amechumbiwa na mume mwingine na mahari ishatolewa, leo unatubania pua hapa "eti namtafuta mke wa kaka"
Give us a Clutch!
Zinduna Kwa nini aondoke bila kuaga......na ujue hajapewa talaka kwa hiyo ni mke halali wa kaka..Au wewe ndiye uliemtorosha.Hivi ndivyo mnavyofundishwa kwenye unyago wa kimakonde!!

shemeji niko huku kusikokuwa na jina.
Shemeji,
kaka yako aliniambia kuwa yeye ni meneja wa crdb bank tawi la millenium tower.
Siku si nikaenda kwa kushtukiza,
lahaula lakwata.....!!!
Sikuamini macho yangu,
kwani nilimkuta yuko kifua wazi,jasho linamtoka,kachafuka vumbi mwili mzima yuko parking anafagia na kufuta vumbi magari.
Shemeji,
kaka yako simuhitaji.
Niko huku nakula bata kwa kwenda mbele.
mlaani shetani Madame B, kweli umefikia kubwabwaja haya hadharani??
Re: Wana Chitchat Namtafuta mke wa kaka.... ametoroka nisaidieni kumtafuta
By Madame B
Shemeji niko huku kusikokuwa na jina.
Shemeji,
Kaka yako aliniambia kuwa yeye ni Meneja wa CRDB Bank tawi la Millenium Tower.
Siku si nikaenda kwa kushtukiza,
lahaula lakwata.....!!!
Sikuamini macho yangu,
kwani nilimkuta yuko kifua wazi,jasho linamtoka,kachafuka vumbi mwili mzima yuko Parking anafagia na kufuta vumbi magari.
Shemeji,
Kaka yako simuhitaji.
Niko huku nakula bata kwa kwenda mbele.
Kumbe Upo shemeji…..Hivi umesahau mawigi ya kichina aliyokuwa anakununulia kaka?
Umesahau zile dawa za kichina za kukuzia makalio alizokuwa anakununulia?
Umesahau kile kibanda cha nyasi cha wazazi wako alivyokikarabati na kuweka tiles?
Umesahau ulivyokuwa unamgasi akununulie dera jipya kila alhamisi ili uende nalo ngomani mbande na maneromango kwa shangazi zako…au kimanzichana kwa wifi wa shemeji wa kaka yako?
Yaani hayo yote umesahau………shetani gani aliyekupata?....na ole wake huyo aliekuweka kinyumba
Follow Us Here