Jamani huyu mtu anapenda kuchonganisha wapendanao hukimkuta kwenye thread ndo kazi yake.HUYU MR.HAPENDEKI HUYU
Jamani huyu mtu anapenda kuchonganisha wapendanao hukimkuta kwenye thread ndo kazi yake.HUYU MR.HAPENDEKI HUYU
Ni huyuhuyu Bishanga au mwingine
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
Hua anaangalia na aina ya ndoa za kuchonganisha!cha kushangaza yeye ndoa hana,huko unga ltd katolewa nduki huku anapambanisha watu lol!@Bishanga oa utulie!
khee kumbe anavyojisifia ni uongo mi nilijua ana mke watoto,wajukuu,vitukuu na vilembwekeze kumbe hakuna kitu itabidi tumuoze ndoa ya mkeka labda gharama za harusi zinamshinda.
"Quality is always better than quantity. That's why the people I call true are few."
Naona mtu mzima anasutwa hapa..!
Swit hat Bishanga kafanyaje tena?
No matter how hot your anger is, it can not cook yams-Nigeria
Heh..ngoja nikavae skin tight na dera!
Hii sredi inatakiwa iwekwe kwenye sticky ili itumike kama fundisho kwa wale wote wenye tabia kama za Bishanga Abashaija...
Mods, du ze nidful...
Mapendo.
TANMO.
Do Something......
mwacheni bishanga jamani....aliniahidi vitz mpaka leo sijapata
Huyo msutwaji mwenyewe yuko wapi,mbona mnasuta hewa?!
Follow Us Here