Nimempenda sana huyu binti/mama. Simjui hanijui.............ukiniuliza kwa nini sina sababu.
Ukiniuliza umempenda kimapenzi nitakujibu "sina hakika"....ukiniambia unampenda kama dada yako nitajibu "Wewe wasema"..............Basi tu yupo moyoni. Naanza kuwapa wasifu wake angalau unaoonekana JF:
1. Mcheshi kwenye maandishi yake ila si sana
2. Anapita sana chitchat na ni mdau mzuri tu
3. Ni kama alishawahi kuumizwa kwa kuporwa mchumba lakini mvumilivu
4. Hujibu hoja kwa kifupi lakini kwa namna ya kuvutia
5. Kuna mjamaa hapa JF anammendea lakini hajafanikiwa
6. Ndio ni binti/mama mzuri tu lakini inaonekana akikukamata kwenye anga zake itabidi ubadilishe ATM card kwa sababu itachakaa mapema.
Nawaachia kitendawili wana CHITCHAT mkitegue: Najua vizuri kuna wadada wengi tu hapa kama Mwali, Mamdenyi, Preta, sweetlady, Kongosho (? ), Erotica, CUTE, @chamingdly, @canatalisia......................na kadhalika, lakini sisemi yumo humo au hayumo!!!
The ealiear the better!
There is no tie in this competition! So far, us wadau we nid a scorer soon !
Juzi wakati nimeisoma barua ndani ya bahasha nikamtaja atakaeibuka kidedea , sijui hamkunielewa?
Hadi hapa si mwenye kuondoka na trophy keshakua wazi.
Ambae hajaona atakua machoNazi ntatamani hata nimtie konzi .
Re: Yupo CHITCHAT na nimempenda...Tegua kitendawili
By Judgement
The ealiear the better!
There is no tie in this competition! So far, us wadau we nid a scorer soon !
Juzi wakati nimeisoma barua ndani ya bahasha nikamtaja atakaeibuka kidedea , sijui hamkunielewa?
Hadi hapa si mwenye kuondoka na trophy keshakua wazi.
Ambae hajaona atakua machoNazi ntatamani hata nimtie konzi .
Judgement acha ku-judge mapema.... mambo bado kidogo..................Halafu nimeona ushairi....vipi studio lini?
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
Follow Us Here