eti jamani ni lazima kwa model wa kiume kuwa mbeba vyuma?na je ni kwel kwamba wadada wanavutiwa na wanaume wenye vifua vikubwa?
eti jamani ni lazima kwa model wa kiume kuwa mbeba vyuma?na je ni kwel kwamba wadada wanavutiwa na wanaume wenye vifua vikubwa?
Ndio maana wanaume wengi wanaofikiria pesa tu wanaishia kuwa source ya finance ya maliyoos. Jamani tutafute pesa na kutunza vizuri miili yetu.
yaani unataka nifikirie kumuacha this hendsam of mine......?.. cacico....he is very hendsam ujue.....
Life is too short to waste time hating anyone.........
preta sasa kama huo u handsome utakupa nissan qashqai kaa nao, utakupa ma-less wig ya kufa mtu original kaanao, utakujengea nyumba kaa nao, utakusaidia wakati wa shida eg kuuguliwa wazazi, wadogo zako kaa nao, utakusomeshea watoto na kukupa heshima NASEMA TENA KAA NAO!!! Pesa inafanya hata kama hukuwa na mapenzi ya dhati kwa huyo mwanaume, ukabadilika kabisa na kumpenda vibaya mno kwa care anayokuonyesha!! ila pia tu kuomba pesa ziwepo na UAMINIFU JUU! coz u can have ol this mwisho wa cku UKIMWI! Very sad! BUT OL IN OL, VIFUA NI BIG NOOOO, mula, preta, mula dada!
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
Life is too short to waste time hating anyone.........
Happy Birthday Saint Ivuga..somebody is born today.You are being paranoid unnecessarily its just chit chat.
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
..hivi mie bebii hiki kifua changu kikubwa..?...maana kuna mdada hapa ofcn..eti ananiambiga nimekaa kimazoezi. Preta
@@
haiyaa....sasa ili ajue vizuri...nakuja weka kambi hapo ofcn... PakaJimmy naomba unirudishie eureka yangu....
...aisee fanya haraka...maana SHETANI anaweza kunipitia...hivi anko PakaJimmy..yuko..maana kimya sana..last alikuwa ana msiba mbeya
@@
Watching you guys from a distance! Preta nakuletea distillation flask kabisa ili ajue wewe ni nani!...Halafu unatafutwa sana na Mtumishi Wetu
mtu chake Nipo mkubwa, life has gone back to square one, n, ...wow!... yr prayers did it!
"The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
What a man is, survives him... it can never be buried"
(GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
[email protected]
Follow Us Here