Mnataka kunijua babu yenu ODM siyo? Haya ukishasoma umwambie na
BADILI TABIA. Nasikia naye ana mahaba ya kunijua.
Jina: ODM
Umri: Siri yangu ila nilizaliwa kipindi kile cha mvua kubwa iliyoandamana na jua kali, nadhani itakuwa 1952
Rangi: Mweusi lakini siyo tii.
Uzito: Kg 114 baada ya kukata kilo 7 hivi karibuni
Urefu: Sentimeta 118 au kwa vile vipimo vingine futi nne na ushenzi kadhaa
Dini: Mkristo, mara ya mwisho kwenda kanisani ilikuwa 1992 wakati wa ibada ya mazishi ya bibi yangu (RIP)
Elimu: Form two ya mkoloni, sawa na Masters ya Mzumbe University ya karne ijayo
Size ya kiatu: Namba 11.
Marital Status: Married with two beautiful kids. Wasipoolewa na mahandsome matajiri, ntawaoa mwenyewe.
Wajihi: Handsome, Meno mawili ya mbele yameng'oka (nshaagiza ya bandia toka brazili). Kitambi kikubwa lakini siyo sana (Mara ya mwisho kuona kikojoleo changu live ilikuwa 1997, hivi sasa nakiona thru kioo)
Mkimwona
Preta mwambieni ninamiliki six packs kwa kifua yangu, asihangaike na fellow tablet
klorokwini. Pia Msimwambie asali yangu
Kongosho kama nimetoa siri yetu.
Hivi leo jumangapi vile?
Follow Us Here