Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

    Report Post
    Page 6 of 9 FirstFirst ... 45678 ... LastLast
    Results 101 to 120 of 164
    1. #1
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,523
      Rep Power : 50837
      Likes Received
      9422
      Likes Given
      14588

      Default Sweetlady awachanganya Klorokwini ,Nitonye na Vin Disiel

      Kweli mapenzi hayana macho...
      Katika hali ya kustaajabisha klorokwini ameamua kujitosa na kuzama kwenye penzi zito la sweetlady bila kujali kuwa ni mke wa nitonye na bila aibu SL ameonekana akiwa na mahusiano mengine ya wazi na Vin disiel na SL alipoulizwa alisema Nitonye yuko shamba..sasa hofu yangu ni pale watakapokutana wote je Klorokwini atapona?
      Then SL atuambie nani big house, nani small house na nani House boy..!
      Wanaomnyemelea SL wengine ambao maombi yao yako pending ntawataja baadae

    2. Miaka 50

    3. #101
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,523
      Rep Power : 50837
      Likes Received
      9422
      Likes Given
      14588

      Default

      Quote By Cantalisia
      Khaaaaa!shikamoo my darling wifi sweetylady,kweli wanawake na maendeleo lol!
      Dah hii yenyewe....
      Sijui namimi nijiongeze kwa Rejao
      sweetlady likes this.

    4. #102
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,523
      Rep Power : 50837
      Likes Received
      9422
      Likes Given
      14588

      Default

      Quote By Cantalisia
      Khaaaaa!loya klorokwini haya ni majungu au?hebu ngoja ntarudi badae kidogo tunamalizia kupeana cha asubuhi na Rejao wangu nicje nikamkata stim bure lol!
      Kwani hiz taarifa za uongo?
      sweetlady likes this.

    5. #103
      Cantalisia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 4,953
      Rep Power : 3054
      Likes Received
      2630
      Likes Given
      2829

      Default

      Quote By Erickb52
      Aliyemtwanga taraka mwenzake nan?
      Rejao au Cantalisia ?
      Haki yanani shem wangu Erickb52 makin utasutwa mwaka huu lol!habari hizi ni uzushi kwann ucniulize mwenyewe nikakujiaju shem!
      Erickb52 and sweetlady like this.

    6. #104
      Rejao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2010
      Location : Long Street
      Posts : 8,758
      Rep Power : 25651
      Likes Received
      3346
      Likes Given
      2878

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Quote By Cantalisia
      Khaaaaa!loya klorokwini haya ni majungu au?hebu ngoja ntarudi badae kidogo tunamalizia kupeana cha asubuhi na Rejao wangu nicje nikamkata stim bure lol!
      Cantalisia, Nakusubiria my wife!!
      Erickb52 and sweetlady like this.
      If you can't convince them, confuse them.
      M-4-C - Movement for Chagaz

    7. #105
      Cantalisia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 4,953
      Rep Power : 3054
      Likes Received
      2630
      Likes Given
      2829

      Default

      Quote By sweetlady
      Rejao kamtwanga Cantalisia afu nasikia wewe ndie chanzo
      Hivi hata wewe kipenzi wifi yangu sweetylady unayaamin haya!
      Erickb52 and sweetlady like this.

    8. RukaaJuu Final

    9. #106
      Cantalisia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 4,953
      Rep Power : 3054
      Likes Received
      2630
      Likes Given
      2829

      Default

      Quote By klorokwini
      kijana naona mechoka kuishi juu ya arzi, Kipipi jana tu nimemnunulia saa water proof halaf tumepiga picha ya pamoja , mzembe nimenyoa sharubu zote kwenye foto. kulaleki


      Ukuje na kanga tu, mazikoni hakuvaliwi fashion



      Ametwangwa rejao baada kufumwa jikoni na cantalisia analibaka papai la fruti usiku wa manane kipindi cha ujauzito wa cantalisia
      Khaaaaaaa!
      sweetlady likes this.

    10. #107
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,056
      Rep Power : 14521
      Likes Received
      6418
      Likes Given
      5006

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Quote By sweetlady
      Watajiju na kujibeba cacico lol.....tena haswa Erickb52
      sweetlady yabidi ujiandae, maana Erickb52 anadai kusutwa mwanaume suna, hana hata uoga! kaaazi kwel kwel!
      Erickb52 and sweetlady like this.

    11. #108
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,523
      Rep Power : 50837
      Likes Received
      9422
      Likes Given
      14588

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Quote By Cantalisia
      Haki yanani shem wangu @Erickb52 makin utasutwa mwaka huu lol!habari hizi ni uzushi kwann ucniulize mwenyewe nikakujiaju shem!
      Hahahaa kwani shem ni mimi ndo nimesema au klorokwini ?
      Mi sipo shem wangu hata sina kosa...mimi na wewe tena lol
      sweetlady likes this.
      Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
      Acha Ngono,UKIMWI unaua!

    12. #109
      Cantalisia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 4,953
      Rep Power : 3054
      Likes Received
      2630
      Likes Given
      2829

      Default

      Quote By Rejao
      Cantalisia, Nakusubiria my wife!!
      Oooh darling just come this way......... yeah.....!!
      sweetlady and Mamndenyi like this.

    13. #110
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,523
      Rep Power : 50837
      Likes Received
      9422
      Likes Given
      14588

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Quote By cacico
      sweetlady yabidi ujiandae, maana Erickb52 anadai kusutwa mwanaume suna, hana hata uoga! kaaazi kwel kwel!
      Hahahahaa nawewe cacico kwa umbea lol
      Halafu ushaanza uchonganishi eeeh ntakuunganisha uwe nyumba ndogo ya nane lol
      sweetlady, Mamndenyi and cacico like this.
      Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
      Acha Ngono,UKIMWI unaua!

    14. #111
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,523
      Rep Power : 50837
      Likes Received
      9422
      Likes Given
      14588

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Quote By Cantalisia
      Oooh darling just come this way......... yeah.....!!
      Hahahahaaa yetu macho shem....
      Akipotea come this way
      sweetlady and Mamndenyi like this.
      Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
      Acha Ngono,UKIMWI unaua!

    15. #112
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,056
      Rep Power : 14521
      Likes Received
      6418
      Likes Given
      5006

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Quote By Erickb52
      Hahahaa @cacico nawewe umo lol
      Haramu ipo tena SL ndo mfano
      kama una ushahidi erickb52 endelea, ila kama huna jiandae kuvishwa dera kuwekwa barazani usutwe, shaurilo! we huku unasema, wenzio chumbani honey kila sekunde!
      sweetlady and Mamndenyi like this.

    16. #113
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,523
      Rep Power : 50837
      Likes Received
      9422
      Likes Given
      14588

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Quote By Cantalisia
      Hivi hata wewe kipenzi wifi yangu @sweetylady unayaamin haya!
      Tena sweetlady ndio chaka mbaya siunajua mmbea huwa anaamini kila asikiacho?
      Au hujui hilo?
      sweetlady and Mamndenyi like this.
      Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
      Acha Ngono,UKIMWI unaua!

    17. #114
      Cantalisia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 4,953
      Rep Power : 3054
      Likes Received
      2630
      Likes Given
      2829

      Default

      Quote By Erickb52
      Hahahaa kwani shem ni mimi ndo nimesema au klorokwini ?
      Mi sipo shem wangu hata sina kosa...mimi na wewe tena lol
      C ndio nashangaa jaman lol!wakati wenzen tunapeana huku,huko majungu eti tushaachana jaman!
      Erickb52, sweetlady and Mamndenyi like this.

    18. #115
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,056
      Rep Power : 14521
      Likes Received
      6418
      Likes Given
      5006

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Quote By Erickb52
      Hahahahaa nawewe cacico kwa umbea lol
      Halafu ushaanza uchonganishi eeeh ntakuunganisha uwe nyumba ndogo ya nane lol
      erickb52 mie tayari figa la 5 kwa YM, Uniunganishe kwa nani tena? si unataka ni RIP kabla ya muda, mashine nazo zinatakiwa zipate hewa ebo!
      Erickb52 and sweetlady like this.

    19. #116
      Mamndenyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 12,156
      Rep Power : 31829
      Likes Received
      6029
      Likes Given
      19645

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Mhhhhhhhh,
      naogopa kesi,
      hawachelewi kusema mama mkwe anapenda kupokea
      vitenge vya waksi pande zote.

      Quote By Erickb52
      Kwa hiyo mama unasema hata mi niongeze figa la pili?
      sweetlady likes this.
      SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

    20. #117
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,523
      Rep Power : 50837
      Likes Received
      9422
      Likes Given
      14588

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Quote By Rejao
      Cantalisia, Nakusubiria my wife!!
      Rejao nasikia umetwangwa taraka na Cantalisia ?
      Hebu fafanua aisee
      sweetlady likes this.
      Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
      Acha Ngono,UKIMWI unaua!

    21. #118
      Mamndenyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 12,156
      Rep Power : 31829
      Likes Received
      6029
      Likes Given
      19645

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Sasa ni yupi huyu au yule,
      najua mzee wako alipokea mahari kote kote
      watakapomshtukia atashangaa.

      Quote By Cantalisia
      Oooh darling just come this way......... yeah.....!!
      sweetlady likes this.
      SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

    22. #119
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,523
      Rep Power : 50837
      Likes Received
      9422
      Likes Given
      14588

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Quote By Mamndenyi
      Mhhhhhhhh,
      naogopa kesi,
      hawachelewi kusema mama mkwe anapenda kupokea
      vitenge vya waksi pande zote.
      Mamndenyi
      Hahahahaaaa acha uoga mama...ila nimeshakusoma tayari....sasa nambie nimeshaongeza mawili BADILI TABIA na Kipipi Hope unawapenda....!
      sweetlady and Mamndenyi like this.
      Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
      Acha Ngono,UKIMWI unaua!

    23. #120
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,523
      Rep Power : 50837
      Likes Received
      9422
      Likes Given
      14588

      Default Re: Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

      Quote By cacico
      erickb52 mie tayari figa la 5 kwa YM, Uniunganishe kwa nani tena? si unataka ni RIP kabla ya muda, mashine nazo zinatakiwa zipate hewa ebo!
      Haaaa cacico siunakuwa figa la 5 kwa Young Master na kwangu unakuwa la 8
      Mbona mwenzio sweetlady kaweza?
      Halafu mafiga matano hadi nane ruksa tangu jana
      sweetlady and Mamndenyi like this.
      Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
      Acha Ngono,UKIMWI unaua!

    Page 6 of 9 FirstFirst ... 45678 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...