Ni usiku,unasikia usingizi,unajiandaa kulala,badala ya kusali/kuomba dua umshukuru Mungu/Subhana wataal kwa kukuwezesha uamke salama,ushinde salama,ulale salama wewe unakimbilia jamvini uchungulie kunani kabla ya kulala,bishanga nasema komeni hii tabia.Sali/omba/msujudu Mola wako kabla hujaingia kitandani.
Mungu awabariki/Wasalam aleikum Muhammad Wabarakatum.
Nyote laleni salama.


Reply With Quote



Follow Us Here